Hizi ndio sababu za uhakika kwa nini Rais Samia alimsweka gerezani Mh. Mbowe!

Hizi ndio sababu za uhakika kwa nini Rais Samia alimsweka gerezani Mh. Mbowe!

.....Kwa hiyo mnakubali kwamba kesi ni ya kubumba sio, na ndio maana tunakubaliana kwamba ccm has outstayed its welcome in office and that's why it has desperately resorted to repressive means to ensure it clings to power.
Kesi si ya kubumba ila nachoweza kusema huenda isingestahili punishment level anayopitia. Ukinisoma vema amefanya "untimely red line crossing"
 
Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
How old are your?
 
Sio kweli, labda hiyo 'complex inferiority' kwa kuwa mwanamke, ila sababu alihisi atakwamishwa na Mbowe haswa suala la tozo, kwa jinsi Mbowe alivyolielezea wazi inaonekana anawaumiza wananchi na kinyume na sheria. Kwani aliposema chochote kiendacho serikalini kinapaswa kitokane na faida, aidha kununua huduma, sasa tozo haipo yenyewe unachukuwa mtaji wa mtu! Hapo shughuli ilianza, na mie naamini ni ushauri toka kwa Mwigulu!
Hilo ulilonena ndio ukweli wenyewe,Mh Rais Samia kaingizwa chaka na Tozo mongers.Ukituma sh 10,000 wanakata zaidi ya sh 1,600 na mpokeaji naye anakatwa zaidi ya hicho kiasi!Bakaa ukifanza manunuzi nako kuna kodi ya asilimia 18. Wapinzani wanaonewa ili ccm waendelee kutuaminisha na kutufanya kuwa wanyonge ili waendeshe V 8 kwa TOZO zinazotweza UTU wetu ambazo zimewekwa kwa sheria mbovu hadi ****** anashangaa.
Wanamshikilia Mh Mbowe kwa kesi ya kuchelewesha madai ya Katiba ambayo ndiyo suluhisho la matatizo yetu.
Hebu wa Tanzania tuwawajibishe hawa ccm maana hakuna aliyepo salama chini ya utawala huu-Ni zaidi ya Vampers.
 
Hiyo sababu yako ya kwanza naikubali sana, mwanzo alikuwa mpole na muoga, lakini baadae alipokuja na habari ya "urais na uanamke" sababu yako ya tatu, ndio ubabe ukaanzia hapo, na hilo zaidi ni tatizo la kisaikolojia, kutojiamini.

Leo inaonekana ndio amegundua alitumia nguvu kubwa kupambana na mtu asiye na kosa lolote, ambaye hakuvunja sheria yoyote, hapa nakubaliana na sababu yako ya pili ya ushauri mbaya anaopewa, sasa ndio wanahangaika kujinasua kwa kuitisha vikao vya kuombeana msamaha.
Usipotoshe eti mbowe hana kosa lolote, mbowe ni gaidi
 
Hilo ulilonena ndio ukweli wenyewe,Mh Rais Samia kaingizwa chaka na Tozo mongers.Ukituma sh 10,000 wanakata zaidi ya sh 1,600 na mpokeaji naye anakatwa zaidi ya hicho kiasi!Bakaa ukifanza manunuzi nako kuna kodi ya asilimia 18. Wapinzani wanaonewa ili ccm waendelee kutuaminisha na kutufanya kuwa wanyonge ili waendeshe V 8 kwa TOZO zinazotweza UTU wetu ambazo zimewekwa kwa sheria mbovu hadi ****** anashangaa.
Wanamshikilia Mh Mbowe kwa kesi ya kuchelewesha madai ya Katiba ambayo ndiyo suluhisho la matatizo yetu.
Hebu wa Tanzania tuwawajibishe hawa ccm maana hakuna aliyepo salama chini ya utawala huu-Ni zaidi ya Vampers.
Pamoja na kukubali kuwa Katiba yetu mbovu kwa kiasi chake, lakini Katiba mpya sio panacea ya matatizo yetu. Tatizo letu la msingi kabisa ni "low economic productivity" kunakoinyima serikali uwezo mkubwa wa kupata mapato yanayotosha ku finance social infrastructure (Elimu na Afya) kwa ufanisi Ili kutengeneza generation itakoyoweza kuzalisha kwa kutumia rasilimali zilizopo with minimum govt support. Hiyo Katiba mpya ni lazima itaheshimu tozo Ili ipate uhalali wa kutekelezeka.
 
Kesi si ya kubumba ila nachoweza kusema huenda isingestahili punishment level anayopitia. Ukinisoma vema amefanya "untimely red line crossing"
Kesi sio ya kubumba....!!?? Wewe unaongea kishabiki zaidi, huzingatii uhalisia wa nature ya hiyo kesi na siku zote kwenye ushabiki waga hakuna reasoning.
 
What red line did he crossed?
".....did he cross".
Well, Did Mbowe convene any meeting to demand new constitution during Magufuli era? Probably, the answer is no, why?

Then, why such meetings reconvened soon after Samia has taken the power? I remember the ultimatum was given to stop convening meetings to demand new constitution at least to allow some period pass the new regime tackle (so called) immediate critical issues, as well as opening up dialogues between political parties and the government. Mbowe explicitly denied the call and re-affirmed his commitment continuing demand new constitution. Given the demand was not there during Magufuli and came shortly after President Samia assumed the top office, definitely reinforced her to "agree" on strong deterrence measures against Mbowe. That is the red line I'm referring to.
 
Kesi sio ya kubumba....!!?? Wewe unaongea kishabiki zaidi, huzingatii uhalisia wa nature ya hiyo kesi na siku zote kwenye ushabiki waga hakuna reasoning.
Mimi siongei kishabiki hata siku moja cz hakuna upande naopata maslahi binafsi. Kesi si ya kubumba ila ni hakika punishment yake probably siyo hivyo inavyoendelea sasa. There were better ways to deal with it if no red lines were crossed. I think
 
Mbowe inasemekana walikubaliana aache kwanza mambo ya katiba,wakayajenga na Mama ili mama ajenge nchi kwanza na mpunga Mbowe akavuta, na kwa ahadi ya kufunguliwa vitu vyake hadi billis. Mbowe akaona anaingizwa chaka baada ya miezi 4 akasikika anaunguruma mwanza na katiba!!!. Mama akashangaa tumekubaliana leo kaanzisha tena?inamaana amenidharau acha nimuonyeshe kuwa mimi ni RJMT habari ndiyo hiyo. Hata mwenyewe mbowe anafahamu!

Akili zangu za asubuhi.
Kwa taarifa yako Maza alipewa mbinu na Madilu baada ya Mbowe kukomalia na kuidadavua vizuri Tozo kutoka mtaji
 
Sababu nyingine kubwa kuliko zote ni Problem solving approach haipo. Nadhani wangeitwa chadomo wakakutana na Mama na wakayajenga in an honest and proffessional way tusingefika hapa.
 
".....did he cross".
Well, Did Mbowe convene any meeting to demand new constitution during Magufuli era? Probably, the answer is no, why?

Then, why such meetings reconvened soon after Samia has taken the power? I remember the ultimatum was given to stop convening meetings to demand new constitution at least to allow some period pass the new regime tackle (so called) immediate critical issues, as well as opening up dialogues between political parties and the government. Mbowe explicitly denied the call and re-affirmed his commitment continuing demand new constitution. Given the demand was not there during Magufuli and came shortly after President Samia assumed the top office, definitely reinforced her to "agree" on strong deterrence measures against Mbowe. That is the red line I'm referring to.
But the accusations tabled before Court are those of terrorism.Do u think that it is proper?
 
Kuja na story kwamba mama ndo kamuweka mbowe gerezani siamini,lakini mtu kua mpinzani ndo mwema asiye na mabaya hilo ndo siliamini kwa 99% na si tu kuliamini,mpinzani anaweza kua mshenzi tu kuliko anaye mshutumu

Kwa urafi wa madaraka na kifo cha JPM kilivyo kaa naweza dhani hata chanzo ni wao ila inafichwa tu maana itaamsha kisicho zuilika
 
Na 2 na 3 ndio jibu.Mabosi
Wanawake ugopa challenge toka kwa wanaume hata makazini inferiority complex kuamini wanadharauliwa.Kumbe ni wrong.
 
Kashauliwa vibaya na wachumia tumbo Ili kumuharibia
 
Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
Aaah Kada mnatunga na lakini watz wanaujua ukweli
 
Yeyote yule ambaye angeingia madarakani, kwa style aliyotaka kuja nayo Mbowe kwa Rais mpya definitely angemtia ndani tu hakukuwa na namna nyingine. Swali la kujiuliza ni kwanini Mbowe alimuanzishia mama asubuhi subuhi? Huenda watu wa system walimdanganya Ili kukamilisha agenda zao.

Infact Mbowe alitaka kuleta taharuki isiyo na sababu kwa nchi. Lazma tuseme ukweli. Na lengo lake ni kumvuruga mama aache agenda za nchi au ccm badala yake acheze agenda za upinzani/Mbowe kwa lengo la kujenga political milage kwenye uchaguzi ujao. Jambo hili lilifanikiwa vizuri kwenye awamu ya mwisho ya Kikwete. Agenda ya Katiba ilivuruga agenda zote za uchumi kiasi ya kufanya uchaguzi kuwa mgumu (among others) kwa ccm.

Nchi inapofiwa na Rais, kwa vyovyote vile kuingia kwenye taharuki ni jambo rahisi, hasa kwa nchi za dunia ya tatu ambapo regime changes sio jambo rahisi kutokana na Katiba mbaya tulizonazo. Maana hesabu za watu zinaharibika, maslahi ya baadhi ya makundi yanatoweka. Tofauti na mabadiliko ya uongozi ya kawaida wakati wa uchaguzi, amabpo watu wanapata muda wa kupanga na kukamilisha hesabu na maslahi yao, regime change ya kufariki kiongozi nafasi hiyo huwa haipatikani. Ndio tunaona akina Polepole na the so called S-Gang wamepanick b'cause they were not expecting an abrupt stop of the life they were living katika muda huu. Walikuwa kwenye lile ziwa la maziwa halafu ghafla wanaambiwa "get out".
Dunia imeshangzwa kiasi chake na regime changes iliyotokea bila risasi hata moja kupigwa.

Kama Mbowe angeachiwa aendelee na agenda zake za Katiba na upinzani kama enzi zile za JK, given na issues za tozo, ajira, global economic fractures na ulazima wa kufanya total diversion ya sera za JPM nk, Mbowe angekuwa na kundi kubwa sana ambalo angeweza kuliambia lolote likafanya, kitu ambacho ni hatari kwa stability ya nchi. Kwa maoni yangu, hizo ndizo sababu za kwanini ilibidi itumike last resort deterrence action mapema kabisa. The system will not allow another Maalim Seif in the country.
Hii ndio post yenye mashiko isiyopendelea. Acha anywe uji aliokoroga mwenyewe. Wote ni wale wale

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huwa nafika muda namuhurumia sana SSH juu ya hii ishu ya Mbowe imemkalia vibaya sana mpaka sasa,,
Mama amegota, atajinasuaje,,!?
Tulimshauri akusikia,ashaingia na ugonjwa wa watawala wa kiafrica kuamini wanajua KILA kitu at the end huwa wanaungua.
Ishu ya Mbowe, machinga, vitu bei juu mama achomoki hapa.
Uongozi yafaa uwe na mentor binafsi bora uagize hata nje na sio wachumia tumbo.
 
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.

Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.

Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.

2. Ushauri mbaya.

Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.

Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.

Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.

Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.

Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.

3. Uanamke wake

Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.

Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.

4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.

Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.

Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.

Ni hayo tu.
Ni upuuzi wa huyo Mbowe wenu kuonesha ujinga wake.Kwa miaka mi5 waliufyata kimya mbele ya dikteta Magu.Sasa ni ujinga kukurupuka na kuanza kumsumbua mwanamke ambaye kaingia kwenye jukumu zito ghafla alafu na wewe unakuja kuleta chokochoko.Acha ajifunze adabu kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom