Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
The system will not allow another Maalim Seif in the country.
Huwa nacheka sana nikisikia neno system. Kwani Maalim Seif alitokea kwa mapenzi ya system?
The system will not allow another Maalim Seif in the country.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli tunaishi nchi ambayo hata katibu kata ana uwezo wa kukamata!UONGO ni uchawi mkubwa sana,wenzetu wanaojielewa ni police tu ndio wenye uwezo to arrest na ni baada ya kujiridhia wana sababu za kufanya hivyo;Tanzania...polisi,wanajeshi,mgambo,all politician's,etc etc wana uwezo wa kumtia mtu ndani kwa kauli tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan jumong bhana mume halali wa ndoa?Ogopa mwanamke asiye na mme rasmi kumpa madaraka makubwa. Waulize wanasaikolojia watakudadavulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka awe busy na mkeo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hangaya binti Tozo Muamaleki hovyo kabisa
Lema na Lissu ni wajanja kwani walijua plan B yao baada ya kupigwa kwenye uchaguzi mkuu ilikuwa ni ya kuleta uchafuzi na umwagaji damu ndiyo maana wakadai ati usalama na uhai wao uko hatarini na mabeberu ambao ndio washiriki na wafadhali wa hatua zao zote za kuivuruga nchi wakawatoa haraka tena kimshangaoAcha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
Binafsi sioni regime change iliyotokea hapo. Aliyeondoka ni JPM tu, serikali imebaki ile ile ya ccm. Jeshi lingepora madaraka au upinzani kuiangusha ccm hapo ni wazi kunakuwa na regime change.Yeyote yule ambaye angeingia madarakani, kwa style aliyotaka kuja nayo Mbowe kwa Rais mpya definitely angemtia ndani tu hakukuwa na namna nyingine. Swali la kujiuliza ni kwanini Mbowe alimuanzishia mama asubuhi subuhi? Huenda watu wa system walimdanganya Ili kukamilisha agenda zao.
Infact Mbowe alitaka kuleta taharuki isiyo na sababu kwa nchi. Lazma tuseme ukweli. Na lengo lake ni kumvuruga mama aache agenda za nchi au ccm badala yake acheze agenda za upinzani/Mbowe kwa lengo la kujenga political milage kwenye uchaguzi ujao. Jambo hili lilifanikiwa vizuri kwenye awamu ya mwisho ya Kikwete. Agenda ya Katiba ilivuruga agenda zote za uchumi kiasi ya kufanya uchaguzi kuwa mgumu (among others) kwa ccm.
Nchi inapofiwa na Rais, kwa vyovyote vile kuingia kwenye taharuki ni jambo rahisi, hasa kwa nchi za dunia ya tatu ambapo regime changes sio jambo rahisi kutokana na Katiba mbaya tulizonazo. Maana hesabu za watu zinaharibika, maslahi ya baadhi ya makundi yanatoweka. Tofauti na mabadiliko ya uongozi ya kawaida wakati wa uchaguzi, amabpo watu wanapata muda wa kupanga na kukamilisha hesabu na maslahi yao, regime change ya kufariki kiongozi nafasi hiyo huwa haipatikani. Ndio tunaona akina Polepole na the so called S-Gang wamepanick b'cause they were not expecting an abrupt stop of the life they were living katika muda huu. Walikuwa kwenye lile ziwa la maziwa halafu ghafla wanaambiwa "get out".
Dunia imeshangzwa kiasi chake na regime changes iliyotokea bila risasi hata moja kupigwa.
Kama Mbowe angeachiwa aendelee na agenda zake za Katiba na upinzani kama enzi zile za JK, given na issues za tozo, ajira, global economic fractures na ulazima wa kufanya total diversion ya sera za JPM nk, Mbowe angekuwa na kundi kubwa sana ambalo angeweza kuliambia lolote likafanya, kitu ambacho ni hatari kwa stability ya nchi. Kwa maoni yangu, hizo ndizo sababu za kwanini ilibidi itumike last resort deterrence action mapema kabisa. The system will not allow another Maalim Seif in the country.
So, if Mbowe did not convene any meeting about new constitution under Magufuli, should that be the same under Samia? tm".....did he cross".
Well, Did Mbowe convene any meeting to demand new constitution during Magufuli era? Probably, the answer is no, why?
Then, why such meetings reconvened soon after Samia has taken the power? I remember the ultimatum was given to stop convening meetings to demand new constitution at least to allow some period pass the new regime tackle (so called) immediate critical issues, as well as opening up dialogues between political parties and the government. Mbowe explicitly denied the call and re-affirmed his commitment continuing demand new constitution. Given the demand was not there during Magufuli and came shortly after President Samia assumed the top office, definitely reinforced her to "agree" on strong deterrence measures against Mbowe. That is the red line I'm referring to.
Hakuwa na maovu yeyete, mkuu huyu alitafutwa toka kipindi cha Magu, kwa huyo alitengenezewa zengwe, ona namna ya watuhumiwa wote maelezo ya onyo wanayakataa ila yanalazimishwa na mahakama inapokea, kwa kuwa wamepanga vyema wanaweza kumkuta na hatia!