Hizi ndio sababu za uhakika kwa nini Rais Samia alimsweka gerezani Mh. Mbowe!

Pamoja na kukubali kuwa Katiba yetu mbovu kwa kiasi chake, lakini Katiba mpya sio panacea ya matatizo yetu. Tatizo letu la msingi kabisa ni "low economic productivity" kunakoinyima serikali uwezo mkubwa wa kupata mapato yanayotosha ku finance social infrastructure (Elimu na Afya) kwa ufanisi Ili kutengeneza generation itakoyoweza kuzalisha kwa kutumia rasilimali zilizopo with minimum govt support. Hiyo Katiba mpya ni lazima itaheshimu tozo Ili ipate uhalali wa kutekelezeka.
Si iwepo tuone kama si suluhisho!
 
Ni upuuzi wa huyo Mbowe wenu kuonesha ujinga wake.Kwa miaka mi5 waliufyata kimya mbele ya dikteta Magu.Sasa ni ujinga kukurupuka na kuanza kumsumbua mwanamke ambaye kaingia kwenye jukumu zito ghafla alafu na wewe unakuja kuleta chokochoko.Acha ajifunze adabu kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inferiority complex ni ugonjwa mbaya sana.Ajui nguvu ya Mbowe
 
Sio kweli, labda hiyo 'complex inferiority' kwa kuwa mwanamke, ila sababu alihisi atakwamishwa na Mbowe haswa suala la tozo, kwa jinsi Mbowe alivyolielezea wazi inaonekana anawaumiza wananchi na kinyume na sheria. Kwani aliposema chochote kiendacho serikalini kinapaswa kitokane na faida, aidha kununua huduma, sasa tozo haipo yenyewe unachukuwa mtaji wa mtu! Hapo shughuli ilianza, na mie naamini ni ushauri toka kwa Mwigulu!
Mlitaka afanye nini wakati amekuta kibubu kitupu?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But the accusations tabled before Court are those of terrorism.Do u think that it is proper?
The answer could either be yes or no. Writing as Dan Zwangendaba, the answer is no, but writing in view of national security concerns, the answer is yes. Only if you know how deterrence is applied in winning political stability.
 
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.

Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.

Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.

2. Ushauri mbaya.

Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.

Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.

Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.

Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.

Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.

3. Uanamke wake

Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.

Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.

4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.

Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.

Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.

Ni hayo tu.
Mnaweza kumdharau lakini yeye ameshikilia mpini, ilhali ninyi mmeshikilia makali. Bottom line, kebehi na dharau zenu zinamsaidiaje Mheshimiwa Mbowe?
 
Huwa nafika muda namuhurumia sana SSH juu ya hii ishu ya Mbowe imemkalia vibaya sana mpaka sasa,,
Mama amegota, atajinasuaje,,!?
Mbona hio rahisi tu,watu wamepigwa risasi nchi nzima kimya sembuse hio
 
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.

Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.

Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.

2. Ushauri mbaya.

Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.

Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.

Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.

Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.

Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.

3. Uanamke wake

Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.

Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.

4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.

Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.

Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.

Ni hayo tu.
KWa hiyo hapo ipi sababu moja ya msingi naona umerukaruka hapa na pale.
 
Mnaweza kumdharau lakini yeye ameshikilia mpini, ilhali ninyi mmeshikilia makali. Bottom line, kebehi na dharau zenu zinamsaidiaje Mheshimiwa Mbowe?
1. Kumjadili Rais wala hata siyo tatizo na wala siyo dharau na ni kawaida maana kila kiongozi na kila mtu hujadiliwa kwa nafasi na level yake.....

Hiki alichoeleza ndugu yetu hapa "siyo scientific facts" bali ni maoni na mtazamo wake ya kinachoendelea ktk nchi/jamii take...

2. Hakuna mtu akataaye kuwa ameshika panga kwenye mpini na huyo Mbowe na wengine kina sisi na wewe ukiwemo tumeshika makali...

Lakini kama anavuta mpini wa panga lake ili makali yawakate wasio na hatia, inampatia thawabu gani kama siyo laana tu kwake na watu wa nchi yake...?

3. Kuhusu Freeman Mbowe, mwache aliyeshika mpini wa panga lake aamue mwenyewe avute na amkate kabisa mtu asiye na sababu ya kukatwa au la afanye lililo haki mbele za watu na Mungu muumba wetu...

Kumbuka, kila mtu ana "mbabe" wake. Inawezekana Rais Samia mnyonge wake ni Freeman Mbowe. Lakini naye ni mnyonge tu kwa mbabe wake....!
 
Yeyote yule ambaye angeingia madarakani, kwa style aliyotaka kuja nayo Mbowe kwa Rais mpya definitely angemtia ndani tu hakukuwa na namna nyingine. Swali la kujiuliza ni kwanini Mbowe alimuanzishia mama asubuhi subuhi? Huenda watu wa system walimdanganya Ili kukamilisha agenda zao.

Infact Mbowe alitaka kuleta taharuki isiyo na sababu kwa nchi. Lazma tuseme ukweli. Na lengo lake ni kumvuruga mama aache agenda za nchi au ccm badala yake acheze agenda za upinzani/Mbowe kwa lengo la kujenga political milage kwenye uchaguzi ujao. Jambo hili lilifanikiwa vizuri kwenye awamu ya mwisho ya Kikwete. Agenda ya Katiba ilivuruga agenda zote za uchumi kiasi ya kufanya uchaguzi kuwa mgumu (among others) kwa ccm.

Nchi inapofiwa na Rais, kwa vyovyote vile kuingia kwenye taharuki ni jambo rahisi, hasa kwa nchi za dunia ya tatu ambapo regime changes sio jambo rahisi kutokana na Katiba mbaya tulizonazo. Maana hesabu za watu zinaharibika, maslahi ya baadhi ya makundi yanatoweka. Tofauti na mabadiliko ya uongozi ya kawaida wakati wa uchaguzi, amabpo watu wanapata muda wa kupanga na kukamilisha hesabu na maslahi yao, regime change ya kufariki kiongozi nafasi hiyo huwa haipatikani. Ndio tunaona akina Polepole na the so called S-Gang wamepanick b'cause they were not expecting an abrupt stop of the life they were living katika muda huu. Walikuwa kwenye lile ziwa la maziwa halafu ghafla wanaambiwa "get out".
Dunia imeshangzwa kiasi chake na regime changes iliyotokea bila risasi hata moja kupigwa.

Kama Mbowe angeachiwa aendelee na agenda zake za Katiba na upinzani kama enzi zile za JK, given na issues za tozo, ajira, global economic fractures na ulazima wa kufanya total diversion ya sera za JPM nk, Mbowe angekuwa na kundi kubwa sana ambalo angeweza kuliambia lolote likafanya, kitu ambacho ni hatari kwa stability ya nchi. Kwa maoni yangu, hizo ndizo sababu za kwanini ilibidi itumike last resort deterrence action mapema kabisa. The system will not allow another Maalim Seif in the country.
Rubbish system kina Kingai, Biden alkuwa hana ata miezi 5 ofisini na Trump anazunguka kufanya shughuri zake fresh, Hangaya ashalivuruga now anawatuma kina Zitto ili kujinasua
 
Sababu nyingine kubwa kuliko zote ni Problem solving approach haipo. Nadhani wangeitwa chadomo wakakutana na Mama na wakayajenga in an honest and proffessional way tusingefika hapa.
Kabisa mkuu
 
1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.

Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.

Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.

2. Ushauri mbaya.

Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.

Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.

Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.

Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.

Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.

3. Uanamke wake

Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.

Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.

4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.

Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.

Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.

Ni hayo tu.
Hangaya binti Tozo Muamaleki hovyo kabisa
 
Mnaweza kumdharau lakini yeye ameshikilia mpini, ilhali ninyi mmeshikilia makali. Bottom line, kebehi na dharau zenu zinamsaidiaje Mheshimiwa Mbowe?
Mbona wakati wa jiwe hukuwa unasema hivi?
 
Back
Top Bottom