Hata yule alikuwa waziri zaidi ya miaka 20.alipoingia akatamka amekuta jumba jeupe mambo ya ovyoovyo,hivyo hata waliokuwa wanamteua kuwa waziri walikuwa wa ovyoovyo.Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kosa la Chadema nikuwa na Mkiti strong,Hakuwa na maovu yeyete, mkuu huyu alitafutwa toka kipindi cha Magu, kwa huyo alitengenezewa zengwe, ona namna ya watuhumiwa wote maelezo ya onyo wanayakataa ila yanalazimishwa na mahakama inapokea, kwa kuwa wamepanga vyema wanaweza kumkuta na hatia!
Kwa hiyo Bi Mkubwa alimshikisha Mr Hai rushwa!??? Nadhani jeshi la polisi na PCCB vifuatilie hili. Liachane na rushwa ndogondogo kwanza. This is clearly unmitigated disaster!!!Mbowe inasemekana walikubaliana aache kwanza mambo ya katiba,wakayajenga na Mama ili mama ajenge nchi kwanza na mpunga Mbowe akavuta, na kwa ahadi ya kufunguliwa vitu vyake hadi billis. Mbowe akaona anaingizwa chaka baada ya miezi 4 akasikika anaunguruma mwanza na katiba!!!. Mama akashangaa tumekubaliana leo kaanzisha tena?inamaana amenidharau acha nimuonyeshe kuwa mimi ni RJMT habari ndiyo hiyo. Hata mwenyewe mbowe anafahamu!
Akili zangu za asubuhi.
Hizo nafasi ulizozitaja,zinapatikana Kwa bahati na pia ni Kwa utashi wa anaekuteua.Hazihitaji ushindani wa hoja ili uzipate.kwahiyo unapopewa nafasi kama hizo na zinazofanana na hizo,ni lazima ucheze mdundo wa aliekuweka hapo.Kupata experience hapo,inategemea na uwezo wako binafsi.Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Nani kakuambia rais hana mamlaka ya kukamata mtu? Rais wa Tanzania ana mamlaka ya kuua sembuse kukamata, na mifano ipo mingi.Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwani nini tofauti ya kodi na tozo?Sio kweli, labda hiyo 'complex inferiority' kwa kuwa mwanamke, ila sababu alihisi atakwamishwa na Mbowe haswa suala la tozo, kwa jinsi Mbowe alivyolielezea wazi inaonekana anawaumiza wananchi na kinyume na sheria. Kwani aliposema chochote kiendacho serikalini kinapaswa kitokane na faida, aidha kununua huduma, sasa tozo haipo yenyewe unachukuwa mtaji wa mtu! Hapo shughuli ilianza, na mie naamini ni ushauri toka kwa Mwigulu!
Umetokea kwenye mashimo gani wewe?? Yaani hujui kwanini Mh Lissu yuko nje ya nchi??Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
Babu yangu alikuwa anapenda kuniambia 'unanitolea macho lakini hunioni' ilinichukua muda sana Kumuelewa...Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio bwabwaja kuu..Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
........Kwa hiyo mnakubali kwamba ni kesi ya kubumba.Mbowe inasemekana walikubaliana aache kwanza mambo ya katiba,wakayajenga na Mama ili mama ajenge nchi kwanza na mpunga Mbowe akavuta, na kwa ahadi ya kufunguliwa vitu vyake hadi billis. Mbowe akaona anaingizwa chaka baada ya miezi 4 akasikika anaunguruma mwanza na katiba!!!. Mama akashangaa tumekubaliana leo kaanzisha tena?inamaana amenidharau acha nimuonyeshe kuwa mimi ni RJMT habari ndiyo hiyo. Hata mwenyewe mbowe anafahamu!
Akili zangu za asubuhi.
.....Kwa hiyo mnakubali kwamba kesi ni ya kubumba sio, na ndio maana tunakubaliana kwamba ccm has outstayed its welcome in office and that's why it has desperately resorted to repressive means to ensure it clings to power.Yeyote yule ambaye angeingia madarakani, kwa style aliyotaka kuja nayo Mbowe kwa Rais mpya definitely angemtia ndani tu hakukuwa na namna nyingine. Swali la kujiuliza ni kwanini Mbowe alimuanzishia mama asubuhi subuhi? Huenda watu wa system walimdanganya Ili kukamilisha agenda zao.
Infact Mbowe alitaka kuleta taharuki isiyo na sababu kwa nchi. Lazma tuseme ukweli. Na lengo lake ni kumvuruga mama aache agenda za nchi au ccm badala yake acheze agenda za upinzani/Mbowe kwa lengo la kujenga political milage kwenye uchaguzi ujao. Jambo hili lilifanikiwa vizuri kwenye awamu ya mwisho ya Kikwete. Agenda ya Katiba ilivuruga agenda zote za uchumi kiasi ya kufanya uchaguzi kuwa mgumu (among others) kwa ccm.
Nchi inapofiwa na Rais, kwa vyovyote vile kuingia kwenye taharuki ni jambo rahisi, hasa kwa nchi za dunia ya tatu ambapo regime changes sio jambo rahisi kutokana na Katiba mbaya tulizonazo. Maana hesabu za watu zinaharibika, maslahi ya baadhi ya makundi yanatoweka. Tofauti na mabadiliko ya uongozi ya kawaida wakati wa uchaguzi, amabpo watu wanapata muda wa kupanga na kukamilisha hesabu na maslahi yao, regime change ya kufariki kiongozi nafasi hiyo huwa haipatikani. Ndio tunaona akina Polepole na the so called S-Gang wamepanick b'cause they were not expecting an abrupt stop of the life they were living katika muda huu. Walikuwa kwenye lile ziwa la maziwa halafu ghafla wanaambiwa "get out".
Dunia imeshangzwa kiasi chake na regime changes iliyotokea bila risasi hata moja kupigwa.
Kama Mbowe angeachiwa aendelee na agenda zake za Katiba na upinzani kama enzi zile za JK, given na issues za tozo, ajira, global economic fractures na ulazima wa kufanya total diversion ya sera za JPM nk, Mbowe angekuwa na kundi kubwa sana ambalo angeweza kuliambia lolote likafanya, kitu ambacho ni hatari kwa stability ya nchi. Kwa maoni yangu, hizo ndizo sababu za kwanini ilibidi itumike last resort deterrence action mapema kabisa. The system will not allow another Maalim Seif in the country.
"Zaidinya"[emoji848][emoji848] "Unadhani hiyo ni experience ndogo?[emoji848][emoji848].Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app