Kanyweni hata chai jamani.1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.
Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.
Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.
2. Ushauri mbaya.
Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.
Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.
Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.
Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.
Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.
3. Uanamke wake
Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.
Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.
4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.
Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.
Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.
Ni hayo tu.
Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.
Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.
Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.
2. Ushauri mbaya.
Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.
Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.
Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.
Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.
Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.
3. Uanamke wake
Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.
Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.
4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.
Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.
Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.
Ni hayo tu.
Lakini ukiachana na kunywa chai points zake alizoziandika hapo umezionajeKanyweni hata chai jamani.
Yaani ukiamka tu asubuhi uko busy na mbowe.
Hata kama wewe ni Joyce Mukya aisee
Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.
Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.
Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.
2. Ushauri mbaya.
Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.
Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.
Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.
Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.
Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.
3. Uanamke wake
Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.
Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.
4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.
Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.
Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.
Ni hayo tu.
Hii "single" yako nayo mpya, imetoka lini?Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
Sio kweli tunaishi nchi ambayo hata katibu kata ana uwezo wa kukamata!UONGO ni uchawi mkubwa sana,wenzetu wanaojielewa ni police tu ndio wenye uwezo to arrest na ni baada ya kujiridhia wana sababu za kufanya hivyo;Tanzania...polisi,wanajeshi,mgambo,all politician's,etc etc wana uwezo wa kumtia mtu ndani kwa kauli tu!Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ogopa mwanamke asiye na mme rasmi kumpa madaraka makubwa. Waulize wanasaikolojia watakudadavulia1. Ugeni kwenye kiti cha Urais.
Kule kuingia ghafla kwenye kiti cha juu cha Urais kulimfanya Mama awe distabilized mentally kwa kiasi chake. Infact, kisaikolojia hakuwa okay maana ni Jambo la ghafla sana. Hivyo kujikuta maamuzi yake kutokuwa na base kubwa ya mizizi. Mentally alikuwa vulnerable sana. Hii ni kawaida kwa kila mtu.
Reference: Rais hakosei. Hii ni moja ya kauli yake ambayo ki ukweli hata yeye anajua Rais anakosea lkn hapa ilionyesha she was shaked mentally na hayupo very stable.
2. Ushauri mbaya.
Alishauriwa kwamba piga mchungaji kondoo watawanyike. Akaamini hivyo. Ambacho hakujua ni kwamba Mbowe ana wafuasi wengi kila pahala.
Hatujui nani alimshauri Rais Samia adili na Mbowe direct namna hii. Huwezi ku dili na Mbowe direct. Mbowe ni deep state. Ana wafuasi hadi Ikulu, Usalama wa Taifa, Jeshini, Polisi na kila sehemu hata ndani ya CCM.
Magufuli pamoja na ubabe wake alidil na Mbowe kwa kumzunguka yaani ile indirect. Mfano kupitia TRA, wakuu wa Wilaya, Polisi n.k. Hivi ndivyo inavyotakiwa.
Sasa, Mama sijui nani kamshauri vibaya kiasi kile.
Nina uhakika Rais angejipa muda wa kutosha hata miezi 6 ama mwaka wala Mbowe asingetiwa gerezani na wala Sabaya asingefungwa. Najua kwa sasa Mama anajutia sana haya mambo sema anakosa namna nzuri ya kujinasua.
3. Uanamke wake
Alidhani Mbowe hamheshimu sababu yeye ni mwanamke. Alishindwa kuelewa zile ni siasa za wapinzani yaani ni wana CCM watukutu na hatuna budi kuwazoea maana ni wana CCM wenzetu wakorofi.
Reference: Mimi ni Rais mwenye jinsia ya kike. Of koz hakukuwa na mjadala wa huyu ni Rais wa jinsia gani.
4. Alipania sana kufanya Jambo kwa Taifa hili.
Mama alipania sana ku hit the billboard kwenye nchi hasa akisukumwa na uanamke wake. Hakujua hii nchi ni ngumu. Kuna upinzani everywhere. Mpaka sasa hatujui falsafa ya Mama ni ipi. Kazi iendelee? Kuna vilio kila kona hakuna kazi/ajira bado maisha ni magumu.
Reference: Najenga nchi kwanza. Hii ni moja ya kauli zake kuhusu katiba mpya.
Ni hayo tu.
✓Kuaibika ni sehemu mojawapo katika maisha ya mwanadamu. SSH itabidi kwa ishu hiii akubali kuaibika tuuuuuHuwa nafika muda namuhurumia sana SSH juu ya hii ishu ya Mbowe imemkalia vibaya sana mpaka sasa,,
Mama amegota, atajinasuaje,,!?
Peleka basi na hayo ukawasaidie wale ambao pamoja na jitihada zote za mbeleko, bado wanaombwela mbwela na ushahidi wa kuokoteza.Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
waziri wa wapi miaka 15? Bongo hii hii?Sikia huyu mama,sio mgeni kumbuka amekuwa waziri kwa zaidinya miaka15,makamu rais zaidi ya miaka 5,unadhani hiyo ni experienced ndogo?na kwa taarifa yako rais hana mamlaka ya kukamata mtu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hakuwa na maovu yeyete, mkuu huyu alitafutwa toka kipindi cha Magu, kwa huyo alitengenezewa zengwe, ona namna ya watuhumiwa wote maelezo ya onyo wanayakataa ila yanalazimishwa na mahakama inapokea, kwa kuwa wamepanga vyema wanaweza kumkuta na hatia!Mbowe alileta dharau kwa Amir Jeshi mkuu.
Licha ya mama kupuuzia maovu yake mengi.
Ilibidi akalishwe tu