Hizi ndio sababu za uhakika kwa nini Rais Samia alimsweka gerezani Mh. Mbowe!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ogopa mwanamke asiye na mme rasmi kumpa madaraka makubwa. Waulize wanasaikolojia watakudadavulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan jumong bhana mume halali wa ndoa?
 
Acha uongo. Mh. Mbowe alipanga hizo mbinu kitambo. Jiulize kwa nini Manji hataki kukaa Tanzania ndiyo utapata majibu au kwa nini Lema alikimbia na Lisu. Manji na kulipua karikakoo
leo sijui ungekuwa unaishije?
Lema na Lissu ni wajanja kwani walijua plan B yao baada ya kupigwa kwenye uchaguzi mkuu ilikuwa ni ya kuleta uchafuzi na umwagaji damu ndiyo maana wakadai ati usalama na uhai wao uko hatarini na mabeberu ambao ndio washiriki na wafadhali wa hatua zao zote za kuivuruga nchi wakawatoa haraka tena kimshangao
Ugaidi ni jina au neno tu ila plan B yao ilikuwa mbaya kwa usalama wa nchi, watu na mali zao
 
Binafsi sioni regime change iliyotokea hapo. Aliyeondoka ni JPM tu, serikali imebaki ile ile ya ccm. Jeshi lingepora madaraka au upinzani kuiangusha ccm hapo ni wazi kunakuwa na regime change.
 
So, if Mbowe did not convene any meeting about new constitution under Magufuli, should that be the same under Samia? tm
 
Hakuwa na maovu yeyete, mkuu huyu alitafutwa toka kipindi cha Magu, kwa huyo alitengenezewa zengwe, ona namna ya watuhumiwa wote maelezo ya onyo wanayakataa ila yanalazimishwa na mahakama inapokea, kwa kuwa wamepanga vyema wanaweza kumkuta na hatia!

Imepangwa wapi vyema mpk kumkta Na Hatia? Ni mamlaka tu aliyopewa Na wananchi ndo yanayotoa Na kumpa nguvu kiasi kwamba mahakama zinaweza shindwa toa hukumu Na haki sawa kwa M/kiti kwa kumwogopa alietoa amri, nukta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…