Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Mkuu Mo, anazo Scania labda kwakuwa ni matoleo ya nyuma. Kwenye kampuni zake kama Gleinrich na Maisha Transportation ana Scania,Daf XF/CF, Mercedes Benz Actros na hizo brand mbalimbali za kichina.
 
Mercedes Benz washaanza nayo wanaiita MirrorEye. Sasa nikaambiwa na Scania 2020 wanazo kama Optional Package.

View attachment 1769839View attachment 1769840
Kitu auto baba wee acha tuu mlimani unasikia gia zinavyojipanga tuu zenyewe na kuna sehemu unabonyeza butan hukanyaji exlator wala nini miguu unakunja 4 kwa raha zako kitu kinaserereka tuu chengewe wewe na staling yako kungoosha[emoji2][emoji2]
 
Kwa madereva watakaopata ajira.

Madereva kupata ajira kuendesha kwenye kwenye barabara hizi:

 
[emoji23] Yale madude sijui Nani alimshauri
Please be serious unataka kuniambia mo alikurupuka kununua vile vigari bila kupewa ushauri wowote ule wa kitalamu?!! Unakosea sana so ulitaka atumie scania xt model kama hizo za azam kusambaza product kutoka mtaa mmoja kwenda mwingine are you serious na mo hawezi kushindwa kununua scania kama hizo za azam coz unamuongelea mmoja kati ya matajiri wadogo barani Afrika alafu na hizo scania XT MODEL mbona matajiri wengi wanazo heven asas anazo kibao na hata matajiri wa kawaida tu wanazimiliki mfano manyanya oil wa mbeya though yeye ni XT MODEL P320 coz abebi mzigo mzito na safari zake ni fupi fupi like dar-mbeya so be polite and smart enough unapokuwa unamzungumzia mtu kama mo!!!!!!!
 
Kiukweli β€˜Kafiri’ hupati ajira hapo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sio rahisi upate kafiri yani ufike Babati upaki ukatafute kitimoto!!...

Nahisi pia watakuwa wamefunga zile car tracking muda wa swala inatakiwa usimame popote utoe mswala uswali .
 
Kama unahitaji huo Mjadala njoo na data, ukisema swala la Viwanda bado huyo Mo hagusi, hizo Scania ni Mpya Ila unajuwa anazo Benz ngapi ambazo zipo barabarani?
Umeshawahi kuona gari anzotumia Mo kusambaza bidhaa zake Mikoani?
Mo anatumia lori za kichina kusambaza bidhaa zake mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…