Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

Acha unazi wa kibwege mpumbafu wewe, ile mibajaji na migari ile kwa mtu mwenye akili timamu ni ya kununua!? Gari ikipita unatafuta kivuli kwanza upumzike, maana inatibua ratiba zote za ubongo. Ushaziona gari wanazosambazia Watercom huku mtaani!? Huyo boss wenu anapenda sana vya dezo.
 
Mh! sikutarajia ungekuja na lugha chafu chief nazani hoja zingefaa zaid anyway mwambie anunue kama za water com!! halafu samahani nimesahau kukuuliza kwani wewe una utajiri wa shilingi ngap na ni nan washauri wako inaonekana wewe una washauri wazuri!!!🤣🤣🤣
 
Ishu sio lugha chafu ama utajiri wa kiasi gani, ndugu zangu watanzania huu upumbafu ambao tumekuwa tukiuishi kwa miaka mingi sasa ifikie mahali ukome ili kizazi chetu kijacho kiyaishi maendeleo ya kweli na kweli iwe ndio msingi wa maisha na sio uongo! Tumezoea kulaghaiwa na kuyaona hayo ndio maisha sahihi.
 
Alafu mo anadanganya watu kuwa anahela
 
Alafu mo anadanganya watu kuwa anahela
Tuacheni ushabiki ndugu zangu so unataka kunambia mo ana fake utajiri wake? hv tajiri no 1 Tanzania unampima kwa njia gan, hv rostam azizi tuliambiwa kipindi fulani ndo tajiri no 1 bongo hv unaweza kunitajia vyanzo vyake vya mapato?!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…