Hamna mwanamke mwenye akili atakataa mwanaume mwenye hizo sifa hapo. Wenyewe huwa mnakiri kabisa kuwa je, tutakula mapenzi huko kwenye ndoa? Which means lazma mwanaume wako awe well of na mipesa.Usishangae ukawa na vyote hivyo, na bado kuna wanawake wakakutaa
Kwahio huwezi kuwa single ukiwa na mipunga au sio.The time unapata hivo vyote lazima kuna Mwanamke kaisha kuganda kama ccm na kura za wizi.
Yani huwezi hata chepuka utachungwa hadi boksa unayovaa kila siku anakua anaijua.
Kwanza tayar utakua baba fulani hapo.
Pesa kidogo tu ya kuspendi inatosha kujichotea totozi kali na kiswahili yako ndo mambo yote hadi atahisi unafanya kazi NEC.
Kwahio unahisi wanawake wanavutiwa na nguvu za kiganga mkuu? Endelea na imani yako sikupingi ila nachoelewa ni kwamba hela ikiwepo hata mlima unaweza kufanywa tambarare.😂Wanawake hua hawaangalii hvyo vitu, wanajikuta wameviangalia hvyo kutokana na shida. So technically unakua umenunua penzi
SI unit zenyewe hizi hapa..
Fahamu dawa na mambo yatakayoweza kukupatia mwanamke umtakae..
Salute Psychological Manipulation, jinsi ya kumpata umpendae kwa kumteka kihisia na kiakili. Kwanza kabisa ili uweze tengeneza computer inakubidi uelewe jinsi mifumo na vifaa vyote vilivyomo ndani ya Computer na jinsi vinavyofanya kazi..Chukulia mwili wa binaadamu ni Computer nzima, ubongo ni...www.jamiiforums.com
Heheheh af kuna wenzio wanadai eti wana jeuri ya kuleta mbele ya mfereji wa mipunga😂😂😂!!! Unapigwa cheques ambazo hata baba yako mzazi hajawahi kusababisha unaishia kukenua meno na kutawanya miguu 😎Kweli nimeamini uchawi upo, huyu baba naniliu hata baiskeli hana ila nimo tu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
SI Unit ndo nini mkuu?
Usishangae ukawa na vyote hivyo, na bado kuna wanawake wakakutaa
Najua mwanamke akiwa Genuine anaweza mpenda mwanaume hata asie na hela ila je mpo wangapi wenye calibre hio? Na eventually huwa mnawaachaga na kukimbilia kwa wenye hela mkishakuwa exposed kwenye life tight.Me sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
Usishangae ukawa na vyote hivyo, na bado kuna wanawake wakakutaa
Hahah wanawake wengi wameumbwa na tamaa utakuta anakataa offers kama yuko na mtu anaemjali tu ila pia huyo mtu kama hana pesa huwa KE anakuwa vulnerable kwa wazee wa kufunguka na miamala. Thats why wengi wanaishiaga kusaliti mahusiano yao sababu anatamani hela za baharia akionjeshwa utamu wa "Imethibitishwa pokea Tsh.xxxxx" mara 2 tatu tu lazma alegeze masharti na kuliwa kilaini tu😂😂😂Ukiona mwanamke anakukataa ujue there is a homie who is credible anapambana nae sasa huyo homie ni lazima anakuwa yupo fiti and thats what we are talking about.
NB: Mwanamke hawez kukataa watu wote duniani, lazima tu kuna mjanja wake
Hahah wanawake wengi wameumbwa na tamaa utakuta anakataa offers kama yuko na mtu anaemjali tu ila pia huyo mtu kama hana pesa huwa KE anakuwa vulnerable kwa wazee wa kufunguka na miamala. Thats why wengi wanaishiaga kusaliti mahusiano yao sababu anatamani hela za baharia akionjeshwa utamu wa "Imethibitishwa pokea Tsh.xxxxx" mara 2 tatu tu lazma alegeze masharti na kuliwa kilaini tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani malengo yenu ni tofauti. Mwenzio anaongelea maslei kwini wa kula tu na kwenda zako we unaongelea wanawake wa kuoa. Lazima vigezo vitakuwa tofauti [emoji16][emoji16][emoji16]Wanawake hua hawaangalii hvyo vitu, wanajikuta wameviangalia hvyo kutokana na shida. So technically unakua umenunua penzi
SI unit zenyewe hizi hapa..
Fahamu dawa na mambo yatakayoweza kukupatia mwanamke umtakae..
Salute Psychological Manipulation, jinsi ya kumpata umpendae kwa kumteka kihisia na kiakili. Kwanza kabisa ili uweze tengeneza computer inakubidi uelewe jinsi mifumo na vifaa vyote vilivyomo ndani ya Computer na jinsi vinavyofanya kazi..Chukulia mwili wa binaadamu ni Computer nzima, ubongo ni...www.jamiiforums.com
Kibaharia ni kwamb tunatafuta hiv ili tuwachakaze vilivyo swala la kukupenda au kukuoa hio ni mada nyingineMe sikubaliani na wewe. Unaweza ukawa na vyote ivo na usinivutie. Mwanamke anaweza akakupendea kitu kidogo tu harufu yako nzuri, uchangamfu wako, upole, busara yani vitu vya kawaida. Na nikakukataa we mwenye vyote ivo sababu ya kijana mwenye sifa ndogo tu. Ujue mwanaume akishakuwa na pesa, nyumba nzuri au gari anahisi anaweza miliki mwanamke yoyote amtakae kumbe siyo. Wapo kibao tunawapiga chini na hata mwanamke akiwa na wewe anakuwa ayupo serious ndio kila siku anakupiga vibomu, mara pesa ya hiki, mara ges imeisha, mara bby sina hiki. Lakini unakuta kuna mwanaume wake uyo awezi muomba ata elfu50, labda mpaka ampe mwenyewe. Na unakuta jamaa amepanga tu chumba kimoja. So kaka zangu tafuteni pesa fanyeni maendeleo kwa faida yako na familia yako apo baadae. Siyo kwaajili ya wanawake
hadi agundue una kibamia tayari ameshavuliwa nguo na kishapenya.vyote hivyo ni bure kama una kibamia cha point 3 sentigredi