Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.

Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo.

Suala la oda hili halikwepeki mkuu.

Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
Chomboni nini?
 
Nipo, ila wewe ndio sijakutia machoni muda mrefu.

Vipi harakati zinaendaje lakini...
Mapambano yanaendelea japo nimepunguza kasi kaka maana chance za transfer bila kujulikana ni kipengele ndugu yangu. Mungu akipenda nataka kurudishi shule mwaka huu mwishoni.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kujuana bado kupo sana.

Kuna jamaa yangu alihama Halmashauri moja kwenda nyingine kabla ya kumaliza probation(alibakisha miezi 2 tu).

Nilijaribu kumuuliza kawezaje, akasema Mkurugenzi alikuwa anazingua ila akafanya namna, huyo Mkurugenzi akapigiwa simu then kifuatacho jamaa akaruhusiwa kuondoka(kuhama).

Kwa huu mfumo mpya wa PEPMIS sijui vikwazo vitakuwaje..
 
Nasikia ofisi ya Mkaguzi (Naot) nao wanakula sana keki ya taifa hususani kipindi cha ukaguzi kikianza.

Mwenye a,b,c na d atupe mawili matatu.

Cc😡Mwifwa.
 
Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.

Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo.

Suala la oda hili halikwepeki mkuu.

Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
Oohh sawa lakini si hawakatazi kusafiri nchi yoyote ile unayotaka kutembelea
 
Sijui kuhusu EWURA lakini naomba uende TPDC
EWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye maji,mafuta, gesi na umeme.TPDC wao mapato yao inategemeana na gesi wanayozalisha na kuuza.
 
Shukrani sana mwamba. Kimsingi hizi nondo zimejitosheleza vyemaa
 
EWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye maji,mafuta, gesi na umeme.TPDC wao mapato yao inategemeana na gesi wanayozalisha na kuuza.
@bidam90 Kuna hawa jamaa wengine wanaitwa PURA vipi wao ukiwacompare na Ewura & TPDC? Msaada hapo Mkuu kama una ABCD yoyote?
 
we baki huko ulipo tu jeshi ni wito maana naona unataka mambo mengi.
Mkuu kwanini umeandika kama vile nimesema ni mimi ndio nataka kuenda huko, mimi nimeuliza tu swali ambalo linahitaji jibu na hata hujui kwanini nimeuliza ila umeshaconclude, kama unajua jibu ni vema kama ungejibu hilo swali langu kuliko kuandika jambo usilolijua kunihusu
 
Mwanajeshi hawezi toka nje ya TZ unless awe na kazi maalumu i.e kusoma au mission ndio maana nakwambia ni wito.
 
Dooh sasa mbona wengine wanasema wanaruhusiwa ila kwa vibali maalum toka juu, kwahiyo hata wakiwa kwenye likizo ndefu hawaruhusiwi kusafiri kwa matembezi yao binafsi, na hiyo ni kwa wanajeshi wote au maofisa wao wanaruhusiwa tu
 
Kwa kibali kutoka juu lakini sio ile ujiamulie tu
 
Yeah hilo la kutojiamulia nafahamu mkuu, hata hapa hapa nchini tu ukitaka kutoka mkoa mmoja kuenda mwingine lazima uwe na kibali huwezi kujiamulia tu, nilitaka kushangaa hilo la kutokuruhusiwa kusafiri nje ya nchi hata kwa kibali
 
Back
Top Bottom