Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wabunge tu, Watumishi wengi wa kawaida sio kivileBunge nasikia ni hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge tu, Watumishi wengi wa kawaida sio kivileBunge nasikia ni hatari
Chomboni nini?Suala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.
Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo.
Suala la oda hili halikwepeki mkuu.
Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
Watumishi wa kawaida, wengi tunakula nao sahani moja.
Duuu... nimeipenda hyo ya kujilipa hpo Ngorongoro asa inakuwaje hpo yaaan kila mfanyakaz ni Boss au???¿Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! Kasoro Ngorongoro ndio anajilipa mshahara
Sasa wewe unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Umehadimika sana broWatumishi wa kawaida, wengi tunakula nao sahani moja.
Wabunge na Watumishi wa Ngazi za juu ndio wanakula keki ya Taifa.
Nipo, ila wewe ndio sijakutia machoni muda mrefu.
Mapambano yanaendelea japo nimepunguza kasi kaka maana chance za transfer bila kujulikana ni kipengele ndugu yangu. Mungu akipenda nataka kurudishi shule mwaka huu mwishoni.Nipo, ila wewe ndio sijakutia machoni muda mrefu.
Vipi harakati zinaendaje lakini...
Kujuana bado kupo sana.Mapambano yanaendelea japo nimepunguza kasi kaka maana chance za transfer bila kujulikana ni kipengele ndugu yangu. Mungu akipenda nataka kurudishi shule mwaka huu mwishoni.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Scale Yao ikoje boss?EWURA naskia nao sio mchezo wako vyema
Oohh sawa lakini si hawakatazi kusafiri nchi yoyote ile unayotaka kutembeleaSuala la likizo halibadiliki kama ilivyo kwa watumishi wengine.
Nahisi kwa mwaka kuna siku 30 za likizo.
Suala la oda hili halikwepeki mkuu.
Ikitokea kuna dharura na unahitajika ASAP basi utaitwa na likizo yako utaacha na kwenda kwenye majukumu.
EWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye maji,mafuta, gesi na umeme.TPDC wao mapato yao inategemeana na gesi wanayozalisha na kuuza.Sijui kuhusu EWURA lakini naomba uende TPDC
Shukrani sana mwamba. Kimsingi hizi nondo zimejitosheleza vyemaaEWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye maji,mafuta, gesi na umeme.TPDC wao mapato yao inategemeana na gesi wanayozalisha na kuuza.
@bidam90 Kuna hawa jamaa wengine wanaitwa PURA vipi wao ukiwacompare na Ewura & TPDC? Msaada hapo Mkuu kama una ABCD yoyote?EWURA pazuri zaidi mkuu.Mishahara yao ipo juu bado posho kama zote na safari hasa inspectors. TPDC mishahara yao haizidi 2m kwa officers. Uzuri pekee wa TPDC ni kuwajali staff wake kwa kuwasomesha nje ya nchi. Ukumbuke pia EWURA mamlaka haizalishi bali inakusanya tu na kukata 1% kwenye maji,mafuta, gesi na umeme.TPDC wao mapato yao inategemeana na gesi wanayozalisha na kuuza.
we baki huko ulipo tu jeshi ni wito maana naona unataka mambo mengi.Oohh sawa lakini si hawakatazi kusafiri nchi yoyote ile unayotaka kutembelea
Mkuu kwanini umeandika kama vile nimesema ni mimi ndio nataka kuenda huko, mimi nimeuliza tu swali ambalo linahitaji jibu na hata hujui kwanini nimeuliza ila umeshaconclude, kama unajua jibu ni vema kama ungejibu hilo swali langu kuliko kuandika jambo usilolijua kunihusuwe baki huko ulipo tu jeshi ni wito maana naona unataka mambo mengi.
Mwanajeshi hawezi toka nje ya TZ unless awe na kazi maalumu i.e kusoma au mission ndio maana nakwambia ni wito.Mkuu kwanini umeandika kama vile nimesema ni mimi ndio nataka kuenda huko, mimi nimeuliza tu swali ambalo linahitaji jibu na hata hujui kwanini nimeuliza ila umeshaconclude, kama unajua jibu ni vema kama ungejibu hilo swali langu kuliko kuandika jambo usilolijua kunihusu
Dooh sasa mbona wengine wanasema wanaruhusiwa ila kwa vibali maalum toka juu, kwahiyo hata wakiwa kwenye likizo ndefu hawaruhusiwi kusafiri kwa matembezi yao binafsi, na hiyo ni kwa wanajeshi wote au maofisa wao wanaruhusiwa tuMwanajeshi hawezi toka nje ya TZ unless awe na kazi maalumu i.e kusoma au mission ndio maana nakwambia ni wito.
Kwa kibali kutoka juu lakini sio ile ujiamulie tuDooh sasa mbona wengine wanasema wanaruhusiwa ila kwa vibali maalum toka juu, kwahiyo hata wakiwa kwenye likizo ndefu hawaruhusiwi kusafiri kwa matembezi yao binafsi, na hiyo ni kwa wanajeshi wote au maofisa wao wanaruhusiwa tu
Yeah hilo la kutojiamulia nafahamu mkuu, hata hapa hapa nchini tu ukitaka kutoka mkoa mmoja kuenda mwingine lazima uwe na kibali huwezi kujiamulia tu, nilitaka kushangaa hilo la kutokuruhusiwa kusafiri nje ya nchi hata kwa kibaliKwa kibali kutoka juu lakini sio ile ujiamulie tu