Macrochogo
Senior Member
- Dec 5, 2023
- 128
- 101
Labda anaangalia kilicho mbele yake tuuMaisha yapo kila sehem nchi hii,inategemea tu nyavu zako umetega wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda anaangalia kilicho mbele yake tuuMaisha yapo kila sehem nchi hii,inategemea tu nyavu zako umetega wapi
Vipi walishaita zile interview zao??Vipi kuhusu shirika la posta mishahara yao ?
Sijafuatilia nduguVipi walishaita zile interview zao??
Hongera kwa kupata kqzi huko ni pipa la asaliAnayefahamu kuhusu Bodi ya mikopo na NECTA kuna majani mbichi kweli?
Wakili wa kujitegemea ana kula shilingi ngapi kwenye nn sasa? Maana huyu kajiajiri au ulimaanisha nn kiongozi?iv kwa kawaida wakili wa kujitegemea na wa serikali wana kula shingapi??
😋😋Uongo mtupu,kuna jamaa namjua aliacha Tanesco alikuwa analipwa kilo 8 per month ,na kuna jamaa niliona slip yake kwa mwezi anakula 35m kampuni binafsi na pia kuna mabwana wadogo kibao wanalamba 6m mpaka 15m kwa mwezi kwenye makampuni binafsi na haujayataja kabisa.
Tueleweshe au toa ufafanuzi watu tufunguke.Kazi pekeee inalipa Bongo ni ualimu wa chuo.
Hutanielewa.
Ungeelezea tu watu wangekuelewaKazi pekeee inalipa Bongo ni ualimu wa chuo.
Hutanielewa.
Hakuna wizara hata moja hapo, inamaana wizarani ni njaa tu 😅Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Mkuu halimashauri sio serikali kuuKuna baadhi ya sehem umepatia ila kwingine umekosea ndo maana nikatoa mfano kuwa mfano kuwa kama wewe umesomea bsc pharmacy na mm nikasoma Md na tukaajiriwa sehem moja md atakuwa na mshahara mkubwa kuliko pharmacist
But mfano huyu pharmacist akaajiriwa kwenye parastatal organization ie TFDA ataanza na mshahara mkubwa kuliko pharmacist ambae kaajiriwa na serikali kuu(halmashauri)
Mfano Md akiajiriwa halmashauri huwa ana mshahara wa kati ya 1.4-1.5
Ila Md huyu huyu kama angeajiriwa Kwenye parastatal organization kama muhimbili angekuwa na mshahara zaid ya 1.5m
Sent from my iPhone using JamiiForums
We huwazi ngono kweli?Kazi pekeee inalipa Bongo ni ualimu wa chuo.
Hutanielewa.
Kwann figure unaweka kwa usd??Mkuu, sometimes Ni lazima kuachana na fantasies na kuishi kwenye uhalisia.
Hata mbunge wa Tanzania analipwa Tsh 15,000,000 tunalalamika. Je, hiyo 15M kwa mwezi Ni pesa kubwa?
Hivi unajua hiyo Tsh 15M Ni $6,000 tu!!
Mkuu wa Idara Halmashauri analipwa That 3M. Unajua hii Ni USD 1,300.
Maisha hayajawahi kulingana hata siku moja. Ukitaka uone Maisha magumu,.kuwa my wa kukosa shukurani au kuona kama dunia haikutendei haki JILINGANISHE na walio juu yako.
Mbona hujilinganishi na unaowazidi??
Kwa mishahara ya serikali kuu, MD ndio anaanza na mshahara mkubwa na hiyo Ni FACT.
Achana na stori zaashirika sijui Nani anapata Milioni 30 kwa mwezi. Hata kama wapo ni watu wangapi.wanalipwa hivyo?
Ndio maana hata wabunge wetu wakijilinganisha na Kenya wanaona wanalipwa pesa ndogo sana na wao wanadai kuongezewa mishahara.
Naijua hiyo .... watu wa kalynda na Q netI wish mgejua kuwa Hela imelala kwa biashara ,Nina mkaka nliimpa line mwaka uliopita alikuwa anaslave kwa halmashauri na vichenchi visivyo na maana Leo hii ana range 2022 edition
Kuna mdada pia najuana naye ,siyo mwajiriwa Ila ukitaka services zozote serikalini atakufanyia mind you hajasoma chuo kikuu ,mwana biashara tu .
Hela wanazokunja hawa sio mchezo .
[emoji23][emoji23][emoji23]Naijua hiyo .... watu wa kalynda na Q net