Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ww upo TRA? huo mshahara ndio wanaopokea.. Usipende kubishia vitu usivyovijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajilopokea kwa sababu haujui....mwone kwanza...😕😕😕😕😕😕😕😕😕😕
 

Kuna baadhi ya sehem umepatia ila kwingine umekosea ndo maana nikatoa mfano kuwa mfano kuwa kama wewe umesomea bsc pharmacy na mm nikasoma Md na tukaajiriwa sehem moja md atakuwa na mshahara mkubwa kuliko pharmacist

But mfano huyu pharmacist akaajiriwa kwenye parastatal organization ie TFDA ataanza na mshahara mkubwa kuliko pharmacist ambae kaajiriwa na serikali kuu(halmashauri)
Mfano Md akiajiriwa halmashauri huwa ana mshahara wa kati ya 1.4-1.5
Ila Md huyu huyu kama angeajiriwa Kwenye parastatal organization kama muhimbili angekuwa na mshahara zaid ya 1.5m


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hiyo tukubaliane kwamba, kuna sehemu hapo serikalini (serikali kuu/serikali za mitaa na mashirika/taasisi za umma), cheo/position, miaka uliyosoma, unyeti wa taaluma n.k zote kwa pamoja zinadetermine nani analipwa nini.

Karibu.
Hapa naweza nikakubaliana na ww
Ila mimi nilichokuwa nakisema ni kwamba katika degree zote hapa Tz mkiajiriwa serikalini degree zenye mishahara mikubwa kuliko zote regardless upo serikali kuu or kwenye parastatal organization ni MD,DDS,DVM,Pharmacy,nursing and engineer






Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwenye red, hawaangalii tu miaka mingapi uliyosoma, pia kuna cheo. Kama wewe umesoma miaka minne mimi nimesoma mitatu ila wote tuna cheo/position moja, mishahara yetu itakua sawa sawa.



Karibu.

Hapa ni kweli ila kwenye cheo c ni mpaka ufanye kazi mda fulani mi nasema at the time mnaajiriwa MD anakuwa na salary ndefu kuzid wengine

Nakubaliana na ww hapo ambapo umesema kuwa tunaweza kusoma course tofauti ila position yetu ikawa moja na tukalipwa sawa
Mfano daktari na pharmacist watalipwa mshahara sawa endapo wote wataajiriwa kama drug inspectors [emoji1417][emoji1417][emoji1417][emoji1417]




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Asante kwa kutujuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni kwamba hao wawili wote wameajiriwa sehem tofauti tfda ni parastatal organization while temeke ni serikali kuu so automatically huyo pharmacist atakuwa na salary iliyoongezeka kidg
Ila hao wawili wangekuwa wote hapo temeke expect kwamba huyo msanifu dawa atakuwa na salary ndogo kuliko alie TFDA/TMDA



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Not true
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…