Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kwa hiyo malipo yote ya jumla ya afisa wa tra (salary, overtime, extradurty, incentive, )yanalingana na ya sajenti?
Hebu elewa mada basi acha kukaza fuvu hilo, kwahiyo kwa akili yako huyo afisa wa tra analingana elimu na sajenti wa jeshi, mlinganishe afisa wa tra na afisa wa jeshi kuanzia captain huko
 
Hoja yako ilikuwa makoplo na masajenti--
Huwezi kulinganisha ofisa wa tra anaenza kazi na kapteni ambaye amepandishwa tayari vyeo vingi.
Linganisha ofisa wa tra anaenza na Luteni usu, hao vyeo vyao vinalingana.
 
Kisa 🙄🙄🙄
 
Kwan usu anakula ngapi?
 
Mkuu nipe connection ya Transport and Logistics officer
 
Mama anafanya jambo
 
Wakuu intertek inajihusisha na nini? Vipi masilahi yake kipesa yan mshahala ukoje?
 
Level ya degree or diploma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…