Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Taasisi yangu ninayofanya kazi ipo hapo top 5, naomba nipiteshe kura ya HAPANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisomea taaluma IPI mkuu!
5/5
 
Migration iweke hapo tunakula mpunga mrefu sana na marupurupu kibao [emoji14][emoji14]
 
mbona umekarir serikalini mishahara haifanan na hio limit ni Kwa wale wanaolipwa na serikali kuu,,,agencies nyingi za serikali zinazokusanya mapato kama TRA,TPA,TANAPa wanajipangia mishahara wankutokana na mapato yao wenyewe ndo maana wanajipandishia tu kirahisi rahisi (ingawa nw mkuu nw kapiga ban mishahara kupanda)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kama haujui vitu ni bora ukae kimya tu. Office attendant tu wa TRA anachukua 1.1 mil Gross. Ukitaka ushaidi njoo Dm, kuongea vitu ambavyo huna uhakika navyo ni sawa na kujivika ujinga
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…