Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

UDSM vipi?
 
Ukishaskia serikalini we unategemea mshahara mkubwa uweje?
Kwani logic ya mshahara mnono ni ipi ?

Maana hapa Marekani mwalimu anapata sio chini ya Milion 100 za kitanzania kwa mwaka. Huko bongo mfanyakaz gani wa entry level anaweza make 100 milions per annum ?
 
Pesa ndogo sana kwa marekani...Huyo hata uwezo wa kumiliki nyumba ya maana hana ,kwa mbali anazidiwa na wabeba box.
 
Kwani logic ya mshahara mnono ni ipi ?

Maana hapa Marekani mwalimu anapata sio chini ya Milion 100 za kitanzania kwa mwaka. Huko bongo mfanyakaz gani wa entry level anaweza make 100 milions per annum ?
Na huko marekani unapata wapi nyumba nzima kwa 250,000 kwa mwezi
Zipo New York kwa Mtogole
🤣🤣🤣🤣 usinichekeshe embu. Mi mtu. Aniambie anakaa marekani hata sishtuki kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…