Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Sema tu mishahara yetu hii kiukweli haitoshi serikalini daktari tu mwenye masters anatoka na take home 1.5 sasa tutafika kweli lazi.a utafute tu side hustle
We mmed take home ni 1.5? Je malecture wa mmed wanapata ngap?
 
Mbona sisi walimu wa primary hamjatuweka kwenye list.
Ajabu sasa watu wanatudharau lakini at the end of the day na sisi tunakuwa na nyumba japo sio lazima majumba ya kifahari tunakuwa na usafiri hata kama ni IST mradi kufika.
Ninachomtukuza mungu ni hiki anajua sana ku balance maisha.
Cha ziada huwa hatuzeeki haraka sababu full time tuko active
 
Afande Simon Sirro unamuona amezeeka ?
Maana yule mzee sio mwalimu.
 
TPASS1
TPASS2
TPASS3
TPASS4

Tunaomba kujua hio mishahara hapo TPA inakuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…