Denton_GrootBoom
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 552
- 932
Jumla ya posho ni sh ngapHapo nimechanganya sio gross salary, ni basic salary, yan basic salary kwa artisan ni 1.3m, technician ni 1.8m hapo kabla ya makato wala kabla ya posho... wana overtime ambayo ni flat kwa wote 400k, wana posho ya house na usafiri, na moja nimeisahau ziko tatu
Kama posho ni hizi kwa tanesco basi hakuna hela, kuna taasisi inalipa extraduty 1.5m, housing 800,000/-, communication 100,000/-, fuel allowance 400,000/-Hapo nimechanganya sio gross salary, ni basic salary, yan basic salary kwa artisan ni 1.3m, technician ni 1.8m hapo kabla ya makato wala kabla ya posho... wana overtime ambayo ni flat kwa wote 400k, wana posho ya house na usafiri, na moja nimeisahau ziko tatu
Naomba uitaje hapa au inbobo p'seKama posho ni hizi kwa tanesco basi hakuna hela, kuna taasisi inalipa extraduty 1.5m, housing 800,000/-, communication 100,000/-, fuel allowance 400,000/-
Taasisi gani hii kaka inalipa vizuri hivi au taasisi gani zinakua na posho kubwa kama hiviKama posho ni hizi kwa tanesco basi hakuna hela, kuna taasisi inalipa extraduty 1.5m, housing 800,000/-, communication 100,000/-, fuel allowance 400,000/-
Yaani TAA ipo, halafu Deposit insurance board haipo?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Kama posho ni hizi kwa tanesco basi hakuna hela, kuna taasisi inalipa extraduty 1.5m, housing 800,000/-, communication 100,000/-, fuel allowance 400,000/-
Hizo ni posho za maofisa, posho za hiyo taasisi zinalingana kwa maofisa wote except walioko kwenye managerial cadreHii ni entry level?
Wakuu issue ya TPDC vs TPA imekosa majibu, nani yuko njema hapo kwa level ya diploma ya engineering
Taasisi ipi now..?Nimesoma Uzi mzima.
Sijaona Salary Range za jamaa wanajiita TAWA.
Nataka nihamie huko.
Uko
Taasisi ipi now..?
Duh,muhudumu tu anamzidi hata mkurugenzi wa Halmashauri na mkuu wa Wilaya?Kwa story ninazoziskia kuhusu REA, EWURA, TPDC, PURA and the likes, inaoneka kule sio haba. Hasa hasa zile habari za maombi ya kuongezewa mshahara za TPDC. Sasa imagine, kama jamaa walikua wanata kwenda hapa, kwa sasa wako wapi??View attachment 3517695
Hawa nafikiri kwa mtu mwenye bachelor anapokea 1.3, na allowances za hapa na pale.Nimesoma Uzi mzima.
Sijaona Salary Range za jamaa wanajiita TAWA.
Nataka nihamie huko.