Idiot Imbecile
Senior Member
- Nov 7, 2024
- 187
- 474
Basi kama wanapokea hiyo sio pa moto sana.Hawa nafikiri kwa mtu mwenye bachelor anapokea 1.3, na allowances za hapa na pale.
Sasa taasis nyingine unakuta zina mishahara mikubwa lakini hakuna sehemu za kupiga mathalani BOT taasisi nyingine mtu anakua chovya chovya kama uko smart kwa mwezi hukosi 10m + mshahara wako hata kama ni 800kBasi kama wanapokea hiyo sio pa moto sana.
Kuna taasisi fulani mtu anayeanza kama hakatwi loan board anapokea mara mbili ya hiyo.
Bado allowances wanazopewa kwa mwezi ni zaidi ya hiyo 1.3 mbali sana.
Nashangaa watu humu huwa hawaitaji kabisa. Kuna pesa nyingi zaidi ya taasisi zinazovuma humu kwamba kuna pesa mishahara na posho nono.
Sure! Uliyoongea ni point kubwa sana.Sasa taasis nyingine unakuta zina mishahara mikubwa lakini hakuna sehemu za kupiga mathalani BOT taasisi nyingine mtu anakua chovya chovya kama uko smart kwa mwezi hukosi 10m + mshahara wako hata kama ni 800k
Mshahara wa mtu wa diploma huuuu TAWA, bachelor anaweza kuanzia 1.8m na kuendelea, na wana allowance nying kuliko tanapa... nimesahau tu rates zao zilikuwa za mwaka jana 2025 mwez wa 6Hawa nafikiri kwa mtu mwenye bachelor anapokea 1.3, na allowances za hapa na pale.
Kwani tpdc kukoje mbona taarifa zinachanganya sana wengine wanasema wako vizuri sana na wengine wanasema katika taasisi za mafuta yan ewura na pura wao ndio wanalipwa kidogo sanaNadhani wafanyakazi wa TPDC wakisoma huu uzi wanacheka sana
Aisee kumbe!Mshahara wa mtu wa diploma huuuu TAWA, bachelor anaweza kuanzia 1.8m na kuendelea, na wana allowance nying kuliko tanapa... nimesahau tu rates zao zilikuwa za mwaka jana 2025 mwez wa 6
Kama allowances ni nyingi hapo ndo panapoleta sustenance.Basi kama wanapokea hiyo sio pa moto sana.
Kuna taasisi fulani mtu anayeanza kama hakatwi loan board anapokea mara mbili ya hiyo.
Bado allowances wanazopewa kwa mwezi ni zaidi ya hiyo 1.3 mbali sana.
Nashangaa watu humu huwa hawaitaji kabisa. Kuna pesa nyingi zaidi ya taasisi zinazovuma humu kwamba kuna pesa mishahara na posho nono.
Hiyo ya kuchovya mpaka mil.10 mshahara hugusi kabisa.Sasa taasis nyingine unakuta zina mishahara mikubwa lakini hakuna sehemu za kupiga mathalani BOT taasisi nyingine mtu anakua chovya chovya kama uko smart kwa mwezi hukosi 10m + mshahara wako hata kama ni 800k
Itaje basi mkuuBasi kama wanapokea hiyo sio pa moto sana.
Kuna taasisi fulani mtu anayeanza kama hakatwi loan board anapokea mara mbili ya hiyo.
Bado allowances wanazopewa kwa mwezi ni zaidi ya hiyo 1.3 mbali sana.
Nashangaa watu humu huwa hawaitaji kabisa. Kuna pesa nyingi zaidi ya taasisi zinazovuma humu kwamba kuna pesa mishahara na posho nono.
Mshahara wa mtu wa diploma huuuu TAWA, bachelor anaweza kuanzia 1.8m na kuendelea, na wana allowance nying kuliko tanapa... nimesahau tu rates zao zilikuwa za mwaka jana 2025 mwez wa 6
Basi kama wanapokea hiyo sio pa moto sana.
Kuna taasisi fulani mtu anayeanza kama hakatwi loan board anapokea mara mbili ya hiyo.
Bado allowances wanazopewa kwa mwezi ni zaidi ya hiyo 1.3 mbali sana.
Nashangaa watu humu huwa hawaitaji kabisa. Kuna pesa nyingi zaidi ya taasisi zinazovuma humu kwamba kuna pesa mishahara na posho nono.
Niliona unasikitika pale kwenye comment yangu mkuu😁, I was not very sure.Bora umenitia moyo, Hapa napiga Hesabu kati ya Private 1.7M na huko TAWA.
Niliona unasikitika pale kwenye comment yangu mkuu😁, I was not very sure.
Mbona hata hapo ulipo pako poa tu mkuu, hivi kupata nafasi Serikalini ukitokea private ni rahisi?
Umenisogezea swali kwenye urahisi, Kazi za Serikali nyingi zinazokuwa advertised ni kwa Juniors, na zinakuwa limited with age.Hakuna urahisi wowote, Ni kujipanga na interview TU.
Shida ya private ni wanabana Sana, Kiasi kwamba hata ukitaka kufuga kuku 1 nyumbani utakosa mda wa kumuangalia
Umenisogezea swali kwenye urahisi, Kazi za Serikali nyingi zinazokuwa advertised ni kwa Juniors, na zinakuwa limited with age.
Swali langu liko hapa.
🤝🤝For that case inategemea na Taasisi/Mwajiri.
Mfano kama TAWA, hawajiri above 30years. Ila wengine wanaajiri tu hata kama una miaka 40, Muhimu ufaulu interview na hawana consideration kabisa ya Experience yako kama kazi ni ya entry job.
Kama umepata TAWA wewe nenda kaka taasisi za mali asili zote zina pesa yan tawa, tanapa, ncca na tfsBora umenitia moyo, Hapa napiga Hesabu kati ya Private 1.7M na huko TAWA.
Nadhani wafanyakazi wa TPDC wakisoma huu uzi wanacheka sana
Hawa nilijua wanaanzia kwenye 3Mkuu TPDC ni 1.8M junior officer, hakuna mshahara mkubwa kama watu wanavyodhania