Ila si wana posho za kutosha sana..?Mkuu TPDC ni 1.8M junior officer, hakuna mshahara mkubwa kama watu wanavyodhania
Hawa nilijua wanaanzia kwenye 3
I
Ila si wana posho za kutosha sana..?
Mkuu kupata kazi kwenye hiyo taasisi hadi uwe na connection nzito tena nzito kwelikweli!Taja hyo Taasisi tukaombe.
Walipo Tupo 😀
Mkuu kupata kazi kwenye hiyo taasisi hadi uwe na connection nzito tena nzito kwelikweli!
Kuna mshikaji fulani alikuwa anapambaniwa sana na waziri fulani ili apate kazi huko na bado aliambulia patupu!
Mkuu kupata kazi kwenye hiyo taasisi hadi uwe na connection nzito tena nzito kwelikweli!
Kuna mshikaji fulani alikuwa anapambaniwa sana na waziri fulani ili apate kazi huko na bado aliambulia patupu!
Hahaha!Wacha maneno, TAJA hyo Taasisi Conbection zinatafutwa tu, Wote sisi ni wa Tanzania
Hahaha!
Sehemu nono ambazo unajipima nguvu wewe mwenyewe bila connection ni kwenye International Organizations tu.
Achana nao, labda kama wana posho zingine nje ya mshahara. Mishahara yao kawaida kwa mtu mwenye Bachelor sio zaidi ya 1.5 Million TZS basic salary.Nimesoma Uzi mzima.
Sijaona Salary Range za jamaa wanajiita TAWA.
Nataka nihamie huko.
Hivi TFS wanaanza na sh ngapi Bachelor..?Achana nao, labda kama wana posho zingine nje ya mshahara. Mishahara yao kawaida kwa mtu mwenye Bachelor sio zaidi ya 1.5 Million TZS basic salary.
Kwa Taasisi sawa na hizo kwa upande wa salary nzuri anaanza NCAA, TANAPA, TFS kisha TAWA.
1.6 MHivi TFS wanaanza na sh ngapi Bachelor..?
Sema huko ukiwa jembe la kazi halafu upate shirika lenye kujali utu@UN unaenjoy sana.huko sawa, ila mostly wanataka uwe na master + Uzoefu kazini hata miaka 3. Hawachukui freshers kabisa na hakuna connections huko
Sema huko ukiwa jembe la kazi halafu upate shirika lenye kujali utu@UN unaenjoy sana.
Sema issue ni temporary contracts.
Upo sahihi kabisa mkuu.Hata ukifanya uko miaka 8, Sawa umefanya serikali Miaka 16 Yaani mara 2.
Kuna kazi unakuta labda USA embassy wametangaza wanalioa mpaka ml8 kwa mwezi, Sasa ata ukifanya miaka mi3 si unakua ushajenga na kuanzisha tumiradi tudogo huku unatafuta shirika lingine.
na ukishagusaa hayo mashirika ukawa na uzoefu mzuri, ndo baasi tena wewe unakua wa huko huko tu.
Inaitwaje mkuu!?Kama posho ni hizi kwa tanesco basi hakuna hela, kuna taasisi inalipa extraduty 1.5m, housing 800,000/-, communication 100,000/-, fuel allowance 400,000/-
subiri majibu hapa..Vipi kuhusu hawa NFRA, COPRA, Bodi za mazao mfano sukari n.k.?
subiri majibu hapa..Vipi kuhusu hawa NFRA, COPRA, Bodi za mazao mfano sukari n.k.?
1.6 M
Yes, kadhaa.Hivi wana Allowances ?