Kwa Taasisi ni hizi ;Sidhani kama Kuna Taasisi chini ya wizara ya madini na nishati yenye njaa
Dp world ni private institution. Ila uchukuzi uwe makini Kuna Taasisi kama Tazara njaa tupuKwa Taasisi ni hizi ;
- Taasisi chini ya wizara ya fedha (Hapa ni kuanzia BOT na baadhi zile za ukaguzi hasa ofisi ya CAG japo mishahara kawaida. kuna watu wanakula rushwa kama TRA na ofisi ya ukaguzi.
- Taasisi chini ya wizara ya Madini na nishati - Kwenye hii kama wote wanakula pesa mpaka kuna kipind serikali iliingilia kati ,wanakuja pesa walishusha mishahara ila posho mlima
- Taasisi chini ya wizara ya uchukuzi- Hapa ni TASAC ,TCAA, LATRA , TPA wizarani na mwisho ni TAA (wana mishahara midogo). Yote Tisa anaanza Dp world halafu anafuata TASAC na TCAA kwa mishahara na miposho
Tazara na TRC zote njaa ...Hizo nimeshindwa kuziweka kabisa kwa sababu kama Tamisemi tu..Wazee hawatki kustaafu ..Nimetaja zenye angalau poshoDp world ni private institution. Ila uchukuzi uwe makini Kuna Taasisi kama Tazara njaa tupu
Mshahara ni mdogo sana,Vipi na GST iko upande gani au ndo njaa?
Acha uongo basi MkuuMshahara ni mdogo sana,
labda posho
Vipi kuhusu Ikulu Chamwino Mkuu? Naona KM wa Sasa wa Viwanda na Biashara wanamuita Bilionea Waziri S. K. alikuwa huko. Mshahara alikuwa analipwa ngapi?Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Psssf na nsssf kampuni binafsi za raia wa Canada, zitoe kwenye hiyo ligi.Kati ya psssf , latra na nsssf zipi hapa zenye maslahi bora?
Zote ni za serikali.Psssf na nsssf kampuni binafsi za raia wa Canada, zitoe kwenye hiyo ligi.
Kivipi, mbona za hapa bongoPsssf na nsssf kampuni binafsi za raia wa Canada, zitoe kwenye hiyo ligi.
Ni warembo lakini wanavipato averageHivi "UTT AMIS" hawalipi vizuri si Taasisi ya Serikali hii na ina wahudumu (Maafisa) warembo sana
Endelea kuota kisha ukakojoe... huko kuna vinono hadi unasaza...Hao kama Polisi tu kwenye maslahi yao,
Nipe connection mkuuSerikalini wote mna njaa, nendeni migodini kuna watanzania wanakunja 30m kwa siku 26 za kazi
Wanafanana ila LATRA walikuwa na field miaka ya 2022 ..LATRA wako bomba hizo NSSSF na PSSSF lawama nyingi kuna vitengo una usenior wako utabaki ofisini bila ya tripKati ya psssf , latra na nsssf zipi hapa zenye maslahi bora?
Mimi nadhani wako vzuri kimslahi sna, maana vita ya madawa ni kubwa sana na ina ushawishi, wanatengeneza mazingira mazur maofisa wao wasiingie kwenye tamaa ya rushwa.Sasa kwani hao TISS unadhani wanalipwa kipi tofauti na police?
Tiss walio kwenye protection ya viongozi walau ndio wana pesa.
Ni taasisi binafsi hizo zenye ubia na serikali kama ilivyo NMB au CRDB.Kivipi, mbona za hapa bongo
Kuanzia lini?Zote ni za serikali.
Utakua umechanganya mkuu, hzi ni za serikaliNi taasisi binafsi hizo zenye ubia na serikali kama ilivyo NMB au CRDB.
Sio kweli mkuu. Ni mashirika binafsi ya kuhudumia wakimbizi.Utakua umechanganya mkuu, hzi ni za serikali