Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Na serikalini kinachowaokoa WATUMISHI baadhi ya taasisi NI maposho na upigaji taasisi km NAOT pale MISHAHARA NI ya kawaida

ila Kazi zao NI za field trip Sana hivyo kinawabeba posho...
Hiv NAOT wana posho nzuri kaka? Maana mishara yao ni midogo sana kawaida sana.
 
A
fiSa II wa TRA yoyote anaanzia 2.7 hiyo ndo tra scale ya sasa 4.1 scale, unakatwa laki 4 ya tra hapo hpo, inabaki 2.3 nfo makato mengine yanafuata baada ya makato ni around 1.68 mil take home hiyo, naongea nikiwa nasoma mkataba wa mwaka huu wa mshikaji wangu wa karibu sana.

Tuzidi kusaidiana kwa data zaidi ili tuujue ukweli, jamani nataka kujua kuhusu hawa NAOT najua mshahara tgs E ni wq kawaiiida sana, vip posho zip jamani mwenye data halisi tusaidiane ikiwezekana nataka nitoke private nalipwa 900,000 niingile setikalin database audit, kabla sijaanza kujiumiza na hizi interview ningependa nipate data kwa wazalendo wenzangu kutoka kwenye hii forum.
 
Umekaririshwa mkuu
 
Tatizo la kuja na mada bila utafiti wa kutosha ndiyo hili hapo hakuna chochote kwenye hiyo list hapo kuna watu wana mishahara bana katengeneze list nyingine hizo taasisi inawezekana hao watu wa Karibu yako wanakuzidi mshahara unadhani ndiyo wanalipa vizuri just kwa sababu unalipwa kidogo ya wao..
 
Sasa ndugu si ungeziorodhesha tu hapa nasi tupate kuzifahamu kuliko kumpa kazi tena ya kutafuta orodha mpya
 
Mkuu una uhakika?
 
Hv wadau mshahara mkubwa Unaazia kiasi gani maana humu ndani kila figure zikiwekwa watu wanasema ndogo
Mpaka nashangaa inawezekana watu humu wana mishahara ya kibabe sana.
 
Serikali hailipi mkuu, taasisi za serikali ni njaa tu labda zikiwa ofisi kama hizo zenye madeal muda wote...ila mshahara hawana, kwenye mashirika ya wakimbizi haya mkuu ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…