Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Taarifa yako haijakamilika. Wanalipwa kiasi gani? Tuwekee hapa, isije ikawa ni majungu tu
 
Kwenye kila Kampuni kuna range ya mishahara kuanzia ya chini mpaka ya juu!! Hivi vikampuni vidogo vidogo ndio vinavyolipa mishahara minono sana kuliko mijikampuni yenye majina makubwa!! Kuna Dogo wa kitaani ameajiriwa kampuni ndogo to anakunja "MIGUU SITA" aka MILIO 6 aka Meter 6 hiyo inayoingia BANKWA.
 
Walinzi tu wa TAA wanakuja 900k...apo kakatwa kila kitu wakati mwalimu anakuja 510K tena wa digrii huyu.....
Hawahawa wanaotukamata pale kwa kukanyaga mistari na kutaka tuwaachie chochote kitu? Una utan ww[emoji28]
 
Hamna kampun ndogo inayolipa hela hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…