Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Laki saba Saba hazifiiki 2 hata uwe na master Sana utapata dili la kulima maharage

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
acha uo
Laki saba Saba hazifiiki 2 hata uwe na master Sana utapata dili la kulima maharage

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
acha kuongea uongo ndugu,, nlikiwa cjui ila nmektana na mfanyakaz wa tari... analipwa 1.2+ af ww unabun bun tu lak saba saba et af kuonesha hujui chochote unasema had master mshahara ndo ule ule wakat hao ndo wanakuwa researcher wana grade yao...

mm niulize ki2 hv km hujui ki2 na ukakaa kmya unapungukiwa nn kwann uje humu kupotosha mambo ya ovyo ovyo tuuu , tuache tabia za ajab ajab na za kishamba .. wa2 wako serious humu wanataka kupata info za kaz za maisha yao ww unaleta utan tan. heb acha jamaa km hujui kfunze kukaa kmya
 
Una hoja nzuri ila una uandishi wa kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…