Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

 
Hivi mshahara mnono unaanza shiling ngapi maana kuna watu wanalipwa 700k kwao ni mshahara mnono pia sababu waliacha kazi ya awali na kuamia ofisi hiyo
 

TARI wanalipa shiling ngapi kwa Entry ya Research Assistant pamoja na benefits nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…