Hiv mtukufu rais na watuwe wako taasis ipi hapoWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
Acha Tu broo unaniumiza rohoNa serikalini kinachowaokoa WATUMISHI baadhi ya taasisi NI maposho na upigaji taasisi km NAOT pale MISHAHARA NI ya kawaida
ila Kazi zao NI za field trip Sana hivyo kinawabeba posho
SERIKALINI watu wanafanyia njaa tu lakini hakuna MISHAHARA ya namna hiyo ila NI vimishahara vya kizalendo tu ili vipunguze gap la walonacho na wasonacho na ndio maana kuna walimu hawawez jenga mpk wapate pension unakuta mwalimu huyo kaishia 1,480,000/- pamoja na kufanya Kazi miaka 40 au 35
Bro Mambo yaone nje tu ila ndani balaa MISHAHARA mpk Sasa miaka 5 Sasa inakaribia hakuna MISHAHARA mipya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki 3 za mwanzo ist. Mwez harrier. Mwaka nyumba kma lileeeeeKwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
Ss ww unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Miaka mi 2 kuna nn villa au mansion
TujuzeAcha uwongo, mshahara uliotaja hata kada za walimu wanapata. Kama jambo hulijui kaa kimya tu. Sisi tumekaa kimya humu sio kwamba hatujui chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
MloganzilaSisi wa TBA tukomenti wapi?
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1.TPDC
2. TCRA
4.Ngorongoro
3.Ewura
4. WCF
5.TBS
5.TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7.SSRA
8.NSSF/PSSSF
9.BOT
9.Bunge
9.ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10.TASAC
10. TRA
11.MSD
11.TAKUKURU
11. EGA
12.NHIF
13.TPA
13. TIC
14.KADCO
15.TANESCO
16.TANROAD
17.TAA
kwa maelezo yako mkuu inaonyesha huna uhakika ulichokiandika!Hakuna hata moja inayolipa vyema. Mshahara wa Afisa katika Taasisi zote hizo ni chini ya 1.7 bila makato. Ukiweka makato mpokeaji anapokea kati ya 1Mil To 800K inategemea kama alikopa Bodi.
Nadhani ulipaswa kusema Taasisi zenye mianya ya kupiga pesa kwa njia ya udokozi bila kudakwa kwa kipindi kirefu.
Na sio zote katika hizo. Ni chache kama vile tume ya madini, Ngorongoro, TPA, Takukuru MSD, GPSA, TRA.
Mk54
Na serikalini kinachowaokoa WATUMISHI baadhi ya taasisi NI maposho na upigaji taasisi km NAOT pale MISHAHARA NI ya kawaida
ila Kazi zao NI za field trip Sana hivyo kinawabeba posho
SERIKALINI watu wanafanyia njaa tu lakini hakuna MISHAHARA ya namna hiyo ila NI vimishahara vya kizalendo tu ili vipunguze gap la walonacho na wasonacho na ndio maana kuna walimu hawawez jenga mpk wapate pension unakuta mwalimu huyo kaishia 1,480,000/- pamoja na kufanya Kazi miaka 40 au 35
Bro Mambo yaone nje tu ila ndani balaa MISHAHARA mpk Sasa miaka 5 Sasa inakaribia hakuna MISHAHARA mipya
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa maelezo yako mkuu inaonyesha huna uhakika ulichokiandika!
ulishafanya proff yoyote ukajua kiasi wanacholipwa ngorongoro?
ook hivi hujui Afisa tuu wa TRA mwenye dip anavuta mpunga mrefu!!? Mbali na hayo makando kando uliyoyaorodhesha!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaelipwa hivyo labda sio mmbongo kwa asilimia 100%!Ngoja Mimi niendelee kulima tu
Kumbe Kuna mtu anapewa 35 M per month
Mkuu hauna line za kwenye NGO yoyote nikajikite huko mkuu?!Ni sahihi kabisa. Nimefanya kazi taasisi ya Serikali, Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1.5K. Take home ilikuwa laki 9. Miaka 3 baadae nikaenda kwenye NGO, nikawa nalipwa 3.8Mil kwa mwezi na safari kila wakati.
Baada ya miaka 3 wazungu hao hao wakatoa Post kwa wanaotaka kufanya kazi nchi za nje. Tukafanya interview tukapita wachache sana mwishowe tukabaki 3 tu.
Wakatupa shavu kufanya internship Uholanzi mwaka mmoja, baada ya hapo tukapelekwa kwenye vituo vya kazi, mimi nikapangiwa Nambia. Salary yangu niliyoanza nayo ilikuwa ni USD 9, 400 plus house and transport allowance.
Je kuna Afisa anayelipwa hivo serikalini ?
Wakurugenzi (DG)wa taasisi tajwa wengi wanacheza kati ya 15M hadi 20 M plus risk ya kutumbuliwa muda wowote kama Nehemia.
Wenzangu niliowaacha Serikali I am sure mpaka leo bado hawajafika salary ya 4M, tena sidhani kabisa maana sijasikia kupanda kwa madaraja wala salary.
Kibaya zaidi taasisi zote kwa sasa wanatakiwa kufuata sheria za Utumishi wa Umma Kwenye kupandisha salary na madaraja.
Tofauti na mwanzo; taasisi kama MSD, NHIF, TPA zilikuwa zinaajiri wenyewe na wanaviwango vyao vya mishahara na madaraja na ndio maana ukienda hizo taasisi unakuta Mkurugenzi, Manager, Afisa Wote wana Masters yaaani wapo sawa; tofauti yao ni aliyekaa muda mwingi ofisini na mwenye performance nzur.
Yaani hupaswi kuwa jeuri maana inawezekana leo nina report kwako but in few years Wewe uta report kwangu na utakuwa chini yangu.
Hakuna watu wana njaa kama watumishi wa umma; na ndio maana wakurugenzi wa hizo taasisi wanaishi kwa ku deal fake na rushwa. Unashangaa Yaani unakamatwa na Takukuru; ili akuachie Wanakuomba Rushwa lol [emoji23] .
Mk54
Halafu mtu anakwambia huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa 🤣🤣🤣Namuona tu hapa, kuna watu wapo serikalini wapo sehemu nzuri tu na wanavuta zaidi ya milioni 12
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ambako huna ndugu na rafiki hujakutaja au sio?Nin
Nina ndugu zangu na marafiki wanafanya kazi huko
wewe ni muongoNi sahihi kabisa. Nimefanya kazi taasisi ya Serikali, Mshahara wangu wa kwanza ulikuwa 1.5K. Take home ilikuwa laki 9. Miaka 3 baadae nikaenda kwenye NGO, nikawa nalipwa 3.8Mil kwa mwezi na safari kila wakati.
Baada ya miaka 3 wazungu hao hao wakatoa Post kwa wanaotaka kufanya kazi nchi za nje. Tukafanya interview tukapita wachache sana mwishowe tukabaki 3 tu.
Wakatupa shavu kufanya internship Uholanzi mwaka mmoja, baada ya hapo tukapelekwa kwenye vituo vya kazi, mimi nikapangiwa Nambia. Salary yangu niliyoanza nayo ilikuwa ni USD 9, 400 plus house and transport allowance.
Je kuna Afisa anayelipwa hivo serikalini ?
Wakurugenzi (DG)wa taasisi tajwa wengi wanacheza kati ya 15M hadi 20 M plus risk ya kutumbuliwa muda wowote kama Nehemia.
Wenzangu niliowaacha Serikali I am sure mpaka leo bado hawajafika salary ya 4M, tena sidhani kabisa maana sijasikia kupanda kwa madaraja wala salary.
Kibaya zaidi taasisi zote kwa sasa wanatakiwa kufuata sheria za Utumishi wa Umma Kwenye kupandisha salary na madaraja.
Tofauti na mwanzo; taasisi kama MSD, NHIF, TPA zilikuwa zinaajiri wenyewe na wanaviwango vyao vya mishahara na madaraja na ndio maana ukienda hizo taasisi unakuta Mkurugenzi, Manager, Afisa Wote wana Masters yaaani wapo sawa; tofauti yao ni aliyekaa muda mwingi ofisini na mwenye performance nzur.
Yaani hupaswi kuwa jeuri maana inawezekana leo nina report kwako but in few years Wewe uta report kwangu na utakuwa chini yangu.
Hakuna watu wana njaa kama watumishi wa umma; na ndio maana wakurugenzi wa hizo taasisi wanaishi kwa ku deal fake na rushwa. Unashangaa Yaani unakamatwa na Takukuru; ili akuachie Wanakuomba Rushwa lol [emoji23] .
Mk54
Nakujua A-Z ndiyo maana nikakuita muongoYaani kujadili na watu wajinga and zero brain ni kupoteza muda for sure na kujishushia heshima hapa JF. Yaani Mtu anakuita Muongo ; hakufahamu , hamjawahi kuonana. Yet anakuita muongo...... are you stupid or have we ever met before,kajifunze ethics za mawasiliano.
Utabaki kuwa maskini na akili zako.
Mk54
unaweza kudhibitisha uongo wake pasipokuacha shaka?