Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mkuu kwani watumishi wa hizo taasisi wanaishi wapi? Kwa sababu pamoja na hio mishahara minono maisha ni ya kama ya wasio kwenye hizo taasisi. Acha hype.
 
Sasa rejea tena comment yako ya mwanzo nanukuu, "sijawahi kuona mfanyakazi wa CRDB anaendesha Discovery", sasa hao walioko kwenye Managerial Positions siyo wafanyakazi au wao ni shareholders
hahaha kuna tatizo mahali hapo
 
Hii list ipo on point sana, hakuna lofa hapo, ukiambiwa ni watumishi wa umma huwezi amini. Ongeza TISS, OSHA.
 
Hujui bado. Hakuna watu wanakula kwa raha kama hao. Kazi kidogo pesa mingi.
 
TISS sasa hivi wanafanya kufuru.
Tangu utawala wa kiimla uasisiwe na Jiwe jamaa wana maisha kinoma.
Jirani yangu anabadili magari tu.
Ila ni kweli wale wa chini njaa tupu
 
Huyo atakua uvccm tu.TISS wa kweli usingemjua hata.
TISS sio kazi kuwajua. Tena kwa Tanzania? atakunywaje beer za bure na kutongoza madem? mi kuna mmoja mlinzi PSU alikuwa anajitumisha picha akiwa safarini kwa demu wangu, nilimzingua hakuamini, alipotea na ushamba wake.
 
Nipee na mimi please
 
Anaabudu tra😇 Tra graduate anaeanza gross haizidi mil 3

Private sector chache na baadhi NGO zinalipa mara 2 hadi 3 ya hapo kwa anaeanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…