Aahh kumbe michongo nikajua mshahara, kijana inaonekana unaiabudu sana TRA tangu mwaka juzi comments zako nyingi huwa naona unasifia huko tu, unahisi kila Mtu humu hapajui huko
Kuna watu wako kwenye Taasisi za serikali na huko TRA wanaona hakuna kitu, tena wengine wanaenda huko hawamalizi hata miaka miwili, wanarudi walikotoka au wanahamia kwingine
Huko kwenye sekta binafsi kama NGOs na Migodini ndio usiseme, watu wanalipwa mishahara na posho kufuru hakuna cha michongo wala nini, tafufa connection ujue taasisi zenye pesa ilionyooka ili uache kupasujudu huko na kupaona ndio kila kitu