Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

[emoji17]Tupeni connection jamani ata kujitolea tu jamani wengine hatuna wa kutushika na familia zetu hazijasoma sis ndo tegemezi [emoji1373]
Unaomba connection kwa mkenya?? Wakenya wengi hawajuagi mambo ya connection yaan wao wanaweza enda sehemu hakuna ndugu wala anaejuana nae, akapenyeza,akausoma mchezo mpaka akaingia kwny system. Watanzania wengi tunategemea kufanikiwa kupitia connection kwa sababu ya akili ya ujamaa ambayo tumelelewa nayo. Yaan tunaamini kama kwny hyo taasisi/ofisi hakuna mnaejuana basi huwezi ingia/ajiriwa.

Hii mentality inatukosesha fursa nyng sana sisi watz hasahasa fursa za ajira na biashara.
 
Yes wengi hukimbilia huko kwa kujidaganya sijui job security blah blah nyingi tu, huku walio private na Nia kwa bachelor anakula milion hata tano aisee. Serikalini huko sijui Tamisemi,utumishi ni njaa tupu
Kuna mtu yupo serikalin, ana degree ya sheria UDSM. Aliingia serikalin 2010 hivi, 2014 alikuwa analipwa 2.6m. Nasema hivi sababu mpaka salary slip zake ninazo.
 
Yes wengi hukimbilia huko kwa kujidaganya sijui job security blah blah nyingi tu, huku walio private na Nia kwa bachelor anakula milion hata tano aisee. Serikalini huko sijui Tamisemi,utumishi ni njaa tupu
Depends na sehem mimi ndo naanza ila monthly nakunja mpk 3m
 
Hizo kamba mkuu hyo hela ni mshahara wa Dr tena mhadhiri wa chuo kikuu
Sio vyema kubishana kaka.

Mimi naongea kitu ambacho nna uhakika nacho, nimekwambia hata sasa salary slip zake ninazo. Na hizi ni za 2014, sijataka kuweka za 2020.

Kukata story, huyu ni mtu wangu wa karibu mno. Kwahiyo each and everything tunashare.

NINAONGEA KITU NILICHO NA UHAKIKA NACHO.
 
Ni kweli sio vyema kubishana ninachojua watumishi wengi salary zao ni ndogo sana
 
Ni kweli sio vyema kubishana ninachojua watumishi wengi salary zao ni ndogo sana
Mimi sikupenda ile kauli ya kusema hizo ni kamba, kwanini nidanganye ktk platfom kama hii?

Ukisema salary zipo chini nakubali ila usipinge baadha ya sehemu mishahara yao.

Mwisho kabisa, kafatilie hata mishahara ofisi ya mkemia mkuu, Gvt kuna sehemu na sehemu.
 
Kuna mtu anasema huo mshahara hapo ni wa Dokta au mhadhir chuo kikuu

Madokta wanapitwa na Graduates wa

TRA
TANAPA
TPDF
TPA
EWURA n.k
Tena kwa organization mtu wa bachelor anakula hata zaidi ya milion tano kumzidi Prof wa chuo kikuu usishangae tembea uone. Hata huko sijui TRA sijui wapi hyo milion mbili na kitu si mishahara ya Senior wa zaidi ya miaka kumi na tano kazini
 
Back
Top Bottom