Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Wewe unataka ziwekwe Salary Slip hapa ili uamini, ila endelea kuwa mbishi.
[emoji23][emoji23][emoji23]mtanishambulia sana ila huo ni ukweli mkuu, Yani mtumishi ulipwe zaidi ya DED au DC[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.
Hizo kamba mkuu hyo hela ni mshahara wa Dr tena mhadhiri wa chuo kikuu
 
Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.
Mimi nakapenda sana sio utani. cariha njoo tuyajenge.
 
Back
Top Bottom