cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Ndio lakini humu kwa huu Uzi watu wanadaganyana sana kuliko uhalisiaHapana. Ulichokiona kinaitwa annual increment.
Nyongeza ya mshahara au daraja ni tofauti kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio lakini humu kwa huu Uzi watu wanadaganyana sana kuliko uhalisiaHapana. Ulichokiona kinaitwa annual increment.
Nyongeza ya mshahara au daraja ni tofauti kabisa.
Sasa mkuu security analipwa 900 na cheti chake cha form4 unasema kawaida.
Wakati Kuna watu wana degree wanalipwa 710
Nyingi ni hisia tuJapokuwa sijui lolote ila mnadanganyana sana huu uzi.
Itakuwa lkn maisha ya askari ni magumu na ndio maana wengi wao hukimbilia PombeAu kaona posho ya chakula na vinywaji?
Huo ni mshahara wa afisa wa TRA anayeanza kazi. Kumbuka afisa ni mwenye Digrii. Kwa mateso hayo ni bora uwe TRANaam
Luteni ni 2.3+ kutegemea na ulipo.
Kuna Lt mtaalamu wa mifugo, mafunzo ya kivita, mwingine daktari, mkufunzi, rubani wa ndege za jeshi and the list goes on.
[emoji23][emoji23][emoji23]mtanishambulia sana ila huo ni ukweli mkuu, Yani mtumishi ulipwe zaidi ya DED au DC[emoji23][emoji23][emoji23]
usimuonyeshe bhanaWewe unataka ziwekwe Salary Slip hapa ili uamini, ila endelea kuwa mbishi.
3.6M kwa DC. Nje ya marupurupu na upigaji.Kwani Ded na Dc wanalipwa bei gani vile.....!
Labda kama ulisikia tu,3.6M kwa DC. Nje ya marupurupu na upigaji.
3M kwa DED.
Labda kama ulisikia tu,
DC mshahara anaolipwa ndio analipwa mbunge, tofauti waliyonayo ni kwenye posho tu. Hata kwa Ded ni uongo.
Jidaganyeni tu mkuu hivo hivo huko serikalini wanalipwa mabilion mkikuta mshahara mdogo muanze rushwaWewe unataka ziwekwe Salary Slip hapa ili uamini, ila endelea kuwa mbishi.
Sawa,Labda kama ulisikia tu,
DC mshahara anaolipwa ndio analipwa mbunge, tofauti waliyonayo ni kwenye posho tu. Hata kwa Ded ni uongo.
[emoji120][emoji120]Sawa,
Endelea kubisha.
Vipi huko TAKUKURU tulipo omba kazi wanalipa shilingi ngapi?Jidaganyeni tu mkuu hivo hivo huko serikalini wanalipwa mabilion mkikuta mshahara mdogo muanze rushwa
Ya kawaida tu mishahara labda utumwe kufatilia baadhi ya vitu vya kiuchunguzi huko ndio Kuna kulipwa extra ila salary ya kawaida tuVipi huko TAKUKURU tulipo omba kazi wanalipa shilingi ngapi?
Duh! Kuipata hiyo kazi sasa ndio balaaYa kawaida tu mishahara labda utumwe kufatilia baadhi ya vitu vya kiuchunguzi huko ndio Kuna kulipwa extra ila salary ya kawaida tu
Hizo kamba mkuu hyo hela ni mshahara wa Dr tena mhadhiri wa chuo kikuu
Mimi nakapenda sana sio utani. cariha njoo tuyajenge.Haka kadada kaongo jamani na kamekomaa na uongo.
Eti 2.6mil ndo mshahara wa Mhadhiri, yaani kuna watu wabishi jamani.
Kamesahau kuna Tutorial Assistant na Assistant Lecturer.
Nakuambia 2.6mil ni mshahara wa msaidizi sio Mhadhiri.