Nacheka tuMkuu hao watumishi si tunaishi nao humu humu mitaani na wewe si umesema hapo juu kuwa kuna mmoja umeona hadi salary slip yake? Sasa si uweke hapa hiyo namba na hizo alizozikosea si uzitaje mbona unazunguka sana chief?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nacheka tuMkuu hao watumishi si tunaishi nao humu humu mitaani na wewe si umesema hapo juu kuwa kuna mmoja umeona hadi salary slip yake? Sasa si uweke hapa hiyo namba na hizo alizozikosea si uzitaje mbona unazunguka sana chief?
Acha kujipa moyo binti kiziwi, ujue kuna taasisi zinazalisha pesa tena bila kutumia mtaji mfano kama TPA, EWURA, TBS n.k kwanini zisiwamwagie mishahara minono watu wake.
Aise! Huenda aliyechukua nafasi yako anaamshukuru Mungu usiku kucha kwa wewe kuacha kazi hiyo na yeye akapata.Mkuu
Mkuu mimi Niko sensitive sana na mshahara, kazi yangu ya kwanza nilikua nalipwa laki nane na nusu take home, huku nimepewa nyumba, gharama za umeme plus maji lakini nilifanya kazi mwaka mmoja tu nikaandika barua ya kuacha kazi nikaomba kazi mahali pengine
Kwa Afisa mchunguzi kwa ngazi ya degree.Kwa afisa mchunguzi mkuu au msaidizi?
Hapo cjui mkuu mimi nlijuzwa na jamaa , maana ata mimi nlikuwa na hamu ya kujua mshahara wa Afisa uchunguzi, maana nliomba kwa nafasi hiyo, kule kutam asikwambie mtu.Kwa hao wenye elimu ya form six na form four je?
Ila nadhani na wao sio chini ya 1MKwa hao wenye elimu ya form six na form four je?
kwa maelezo yako mkuu inaonyesha huna uhakika ulichokiandika!
ulishafanya proff yoyote ukajua kiasi wanacholipwa ngorongoro?
ook hivi hujui Afisa tuu wa TRA mwenye dip anavuta mpunga mrefu!!? Mbali na hayo makando kando uliyoyaorodhesha!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo kazi ni za Wito,hazina mishahara mikubwa! Kule ni mwendo wa CCD tu na kwa taechers ni Tuitions tu.
Pesa zipo jeshi la bakabaka, bado ujaenda dafur au Congo na kurud salama.Duuh yaani mimi siku zote wanavyosemaga mishahara minono, huwa nadhani labda hizo taasisi zote ofisa anayeanza kazi anachezea kuanzia 2.5M-3M!
Kumbe wengi hata 2M hawafiki, kama ni hivyo basi TPDF linalipa vizuri asee maana jeshini hizo 1.8M-2M ni mishahara ya makoplo na masajenti ambao wengi wameishia la saba na form four!
Bado hujazungumzia wenye degree maofisa kuanzia maluteni, halafu kuna watu wanadharau eti jeshini hamna kitu eti pesa ziko TRA na BOT kumbe pesa zenyewe ndiyo hizo wabongo bhana!
Kuna captain wa jeshi leo kanikopa elfu 20,sasa sijui huo mshahara wake huwa haumtoshi au vipi?Pesa zipo jeshi la bakabaka, bado ujaenda dafur au Congo na kurud salama.
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna captain wa jeshi leo kanikopa elfu 20,sasa sijui huo mshahara wake huwa haumtoshi au vipi?
Inakopa serikali, wanakopeshwa makazini, na hao watu wa starehe, wakistaafu wanafulia, Ila wanalipwa uliza kwa wanaojua., Mwalimu akasome.Kuna captain wa jeshi leo kanikopa elfu 20,sasa sijui huo mshahara wake huwa haumtoshi au vipi?
Wengi huwa mnasema hivyo ila mtambue kuwa kulipwa mshahara ni kitu kimoja na matumizi ya huo mshahara ni kitu kingine! Mara nyingi njaa ya mtu haitegemei na mshahara wa taasisi anayofanyia kazi bali matumizi yake binafsi na namna anavyopangilia kipato chake maana wanajeshi wengi huwa wanasifika kwa kupenda anasa za hapa na pale!Kuna captain wa jeshi leo kanikopa elfu 20,sasa sijui huo mshahara wake huwa haumtoshi au vipi?
Tatizo watu wakisikia jeshi wanawaza vile vyeo vya chini tu! Kuna jamaa mmoja ni sajenti alikuwa anawaambia raia eti wasiwashadadie sana maofisa na kuwadharau wao maaskari!Inakopa serikali, wanakopeshwa makazini, na hao watu wa starehe, wakistaafu wanafulia, Ila wanalipwa uliza kwa wanaojua., Mwalimu akasome.
Sajent darasa la Saba au form four ila mishahara yao utafananisha na msomi wa kada nyingine na mwenye ujuzi, bado mwenye nyota kwenda juu.Tatizo watu wakisikia jeshi wanawaza vile vyeo vya chini tu! Kuna jamaa mmoja ni sajenti alikuwa anawaambia raia eti wasiwashadadie sana maofisa na kuwadharau wao maaskari!
Sababu hao maofisa wengi huwa wanapenda starehe na anasa hawajui kutumia pesa zao vizuri! Na wakati mwingine wakifulia wanawakopa maaskari ambao raia wanawadharau!
Akawa anaelezea mafanikio yake kibiashara pamoja na kwamba ni mwanajeshi wa cheo cha chini! So unaona kabisa kwamba tatizo siyo mshahara bali ni matumizi ya mtu binafsi!
[emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji122]heshima yako mkuu eti kenge!Mm nipo na duka la spea na gereji kwa mwezi on average sikosi Tsh. 12M. Naamin nipo juu kuliko hizo taasis ulizotaja.Na hakuna kenge wakunipangia muda wa kuja wala kuondoka kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
This was my dream ila sasa nafyatua tofali dah😎TA 1.77milion
Ass Lecturer 2.54m
Lecture 3.8milion
Senior Lecturer 4.8+
Professor 6 milion
Wakati kwa wenzetu hizo pesa ni kazi ya siku 2 au 3 tu😅Ila nchi zetu umasikini bado Sana , Yani laki 9 Ni sawa na Kama dola 450 hivi mtu ndio analipwa kwa mwezi.
Aiseeh tujikwamueni bado tupo kwenye umasikini
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa mbona mnasema serikalini hakulipi kama private ila hamuachi hizo kazi?😅Mashamba uyu kuna watu
fuel allowance tu 1m
mawasiliano 3lk
House 5lk
Basic 1.8
Huyo ni waserikali na ana miaka 4 kazin tunao maofisin
Huko TRA unaingiaje kwa mfano😅 maana kuna mtoto wa Ndugai anatakiwa aingizwe kabla ya nyie akina kajamba nani!Huo ni mshahara wa afisa wa TRA anayeanza kazi. Kumbuka afisa ni mwenye Digrii. Kwa mateso hayo ni bora uwe TRA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wale wahuni wakifuatiwa na wahindi wanaongoza kwa kuua ndoto za vijana!Inategemea na hiyo private unayoizungumzia wewe iko vipi..kuliko kuwa kwenye vijikampuni hivi vya wachina au wahindi bora niwe serikalini tu..private ukiwa kwenye NGO za kimataifa na makampuni makubwa kama TBL,serengeti, TCC na mengine ya aina hiyo naweza kushawishika kuwa huko kuna maisha ila sio umeajiriwa kwa kampuni za wachina nawe eti unawavimbia watu walioko government,tunajua mishahara ya wachina huwa haizidi laki 4.
Jei Wii wanakula mipunga mirefu sana basi, ina maana kwa mie mwenye diploma na degree ningekula extra ya 1.7M ama nini? 😅Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mwenye degree jwtz anakunja milion 2.7 coz proffessional allowances ni laki 9 kwa mwenye bachelor na laki 8 kwa diploma + maji+ umeme+ vinywaji + meals+ ngome+ pedi ( kwa w
Mwanamke)yaan salary slip za askari wa jwtz imeshiba mnoo Nashangaa hawapo kwenye hiyo chart yakoo ya magumashi