Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Latra[emoji848]
Unashangaa 😁😁...Kuna taasisi nikitaja hapa utauliza zimetokea wapi...Ila tambua taasisi nyingi zinazotumia mfumo wa salary slip za serikali kama halmashauri hazina maajabu unaweza kushangaa.

Kuna taasisi ni kubwa jina ila kama halmashauri unaweza kushangaa
 
Mbona mnataja taja mishahara tu, wala hatuoni mishahara ni kiasi gani

2. Majukumu ya anayelipwa huo mshahara ni majukumu gani...

Of course mi naona, suala la kufanya viwango vya mishahara viwe sawa kwa taasisi zote za umma, kwa watu wenye kada moja mf; engeneer, au technician.. ni jambo gumu sana..

Hii inatokana na majukumu ya taasisi husika..

Kwa maana hiyo sishangai sana taasisi moja kulipa vizuri na nyingine kulipa mishahara ya kawaida..

Na ikumbukwe..

Kuna mashirika ya umma hayategemei ruzuku kutoka serikalini.. bali yenyewe yana vyanzo vyao vya mapato so huwezi linganisha mishahara yao na wanaotegemea kila kitu kutoka serikalini.

Over kama mmenisoma
 
Sasa mtu unaanza na 3M unaona ndogo? Halali watu wakurupukie huko.
Yes ,kuko vizuri sana kiustawi na kifedha , huko ndio kwa kupumzikia bila kuhama hama , nilichokuwa namaanisha ,kuna taasisi zinalipa zaidi ya hapo ila kupata nimbinde sana .
 
Back
Top Bottom