Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Watu hawajui TRA wanavuta mpunga mrefu
maana mara ya mwisho nov 2023 salary yao niliona ilikuwa 3.1M kwa anaeanza kazi
kukosa kazi ni kubaya sana maana unaweza kuwa na ndotio mbaya sana ya mchana. yaani tumekaa kuvizia nani analipwa nini ? hao tra wenyewe njaa kama nini ni jina tu ukisikia tra , kuna dogo namfahamu kaanza kazi anakwambia kumbe ukiwa nje unadhani ni sehemu yenye bonge ya mshahara kaanza kazi mwaka jana mshahara wake ni wa kawaida tena kuna taasisi wanavuta kulik anasema tra ukiwa nje utadhani wana boooo nge ya mshahara lakinmi alipoingia kakukta tofauti.
 
TAASISI ZINAZOONGOZA KWA KULIPA UKWASI MREFU NI HIZI HAPA CHINI

1.TPDF
2.JWTZ
3.BAKABAKA
4.JW
5.TIPIDANDA
Kuna jamaa yangu yupo Bakabaka.

Wakati tunapokea majibu ya Application za kwenda chuo, yeye akapata chuo ambacho hakukitarajia na akapambangia kozi isiyo chaguo lake, pia kwenye mkopo akazinguliwa.

Akarudi jeshini maana kuna nafasi za mafunzo zilitangazwa kwa wale wenye interest pia kama walipitia JKT kwa mjibu.

Alipomaliza na kuanza kazi, mimi ndio nilikuwa mwaka wa pili, yeye hapo tayari kashajipata, akawa ananiambia kwenye maokoto Daktari anayeanza kazi hawezi kumfikia hata kidogo.

Sasa hivi ana zaidi ya miaka 7 kazini, atakuwa kapiga hatua sana endapo kama Malengo madhubuti
 
Zipo nyingi tu wanatax haswa taasisi ...Zipo nyingi sana posho zinachanganywa na mshahara yaani vinatoka pamoja.

Duuh. Ndio naskia.

Posho ikatwe kodi?? Mnakubalije posho ikatwe kodi? Posho haitakiwi kukatwa kodi

Well, posho na mshahara kutoka pamoja sio tatizo. Kwa hiyo posho zinaonekana kwenye salary slip??
 
Duuh. Ndio naskia.

Posho ikatwe kodi?? Mnakubalije posho ikatwe kodi? Posho haitakiwi kukatwa kodi

Well, posho na mshahara kutoka pamoja sio tatizo. Kwa hiyo posho zinaonekana kwenye salary slip??
Ndio huo mfumo upo sana...Tena ni wakinyonyaji excepts zile per diem hazikatwi kabisa ila nyingine wanakata zinazotoka na mshahara
 
Ndio huo mfumo upo sana...Tena ni wakinyonyaji excepts zile per diem hazikatwi kabisa ila nyingine wanakata zinazotoka na mshahara
Kumbe mambo ya allowances(house, transport et al) zinakatwa kodi...

Hapo utamu wake hamna tena...
 
Ndio huo mfumo upo sana...Tena ni wakinyonyaji excepts zile per diem hazikatwi kabisa ila nyingine wanakata zinazotoka na mshahara
Hata mimi nafahamu kuwa posho inajumlishwa kwenye mshahara na kukatwa kodi pamoja ni per diem pekee ndiyo haikwatwi kodi. Hii ni changamoto kwa kweli
 
Hata mimi nafahamu kuwa posho inajumlishwa kwenye mshahara na kukatwa kodi pamoja ni per diem pekee ndiyo haikwatwi kodi. Hii ni changamoto kwa kweli

Mimi mwaka wa tano huu sijawahi katwa kodi kwenye housing allowance, transport allowance wala extra duty allowance.
 
Jamani kama kuna waganga au Watu wenye uwezo wa kutuingiza huko kwenye ulaji mtupe jmn,tupo tyr kufanya kazi kwa bidii kubwa sana,endapo maslahi yatakuwa mazuri kama mnayo yasema
 
Hata mimi nafahamu kuwa posho inajumlishwa kwenye mshahara na kukatwa kodi pamoja ni per diem pekee ndiyo haikwatwi kodi. Hii ni changamoto kwa kweli
Magufuli ndio alitibua ,wajanja ni wale wanalipa tofauti unakuta mshahara trh 23 ila posho wanalipa trh 15 katikati ya Mwezi
..Ila waliokuwa wanatoa allowance na mshahara siku moja zilianzwa kukatwa kodi.
 
Back
Top Bottom