Ana degree yaan total yotr jumla inakua 1.5mSasa huo ni mshahara ukijumlisha na posho inakuja ngapi, na mshahara wa jeshi haukatwi kama uraiani, by the way huyo ndugu yako ana elimu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana degree yaan total yotr jumla inakua 1.5mSasa huo ni mshahara ukijumlisha na posho inakuja ngapi, na mshahara wa jeshi haukatwi kama uraiani, by the way huyo ndugu yako ana elimu gani
Labda ila mm nasemea kitu nilicho kiona afisa wa jeshi mwenye nyota 1 anae anza kazi kwa cheo cha LUTENI USU anapokea 1.5M kwa mchanganuo nilio unesha hapo juuKwahyo captain atakuwa analipwa million 4 ?
Ndio wanalipwa vzr, mm nipo bodi ya korosho nakula 1.3+ ukitoa makato napata 980 na vichenji bado safari kila kukicha. Mwanajeshi ananizidi tu kwasabab wao hawana makato kama kodi ya mshahara na Chama cha wafanya kazi lakin pia wana mikopo ya gharama nafuu lakin pia mm naweza kukopa hazina kwa riba ya 4% tukaenda Sawa tu1.5m ndio mshahara mzuri brother?uko dunia gani mwenzetu?
Kutokana na taasisi nyingi zilizotajwa na watu humu basi inaonekana kwa mtazamo wao huo ni mshahara mzuri, na kama huo siyo mzuri basi hakuna taasisi ya serikali inayolipa mshahara mzuri bongo kwa entry level, maana kumbuka huo ni mshahara wa luteni usu (nyota moja) ambaye ndio anaanza kazi, na hicho cheo ni cha muda mfupi tu baada ya mwaka huwa wanaveshwa nyota mbili na kuwa maluteni, hivyo mshahara nao kuongezeka1.5m ndio mshahara mzuri brother?uko dunia gani mwenzetu?
Hapana ukijumlisha na posho ni zaidi ya hiyo, kila mwezi wana posho ya chakula 300K, kila baada ya miezi mitatu wanapewa ration ya vinywaji 300K, kwa kifupi ukijumlisha mshahara na posho luteni usu anakunja 2.3M, hayo usitegemee utayaona kwenye salary slip mkuuAna degree yaan total yotr jumla inakua 1.5m
Zipo Kuna taasis entry level mwenue degree anaanza na 3.2MKutokana na taasisi nyingi zilizotajwa na watu humu basi inaonekana kwa mtazamo wao huo ni mshahara mzuri, na kama huo siyo mzuri basi hakuna taasisi inayolipa mshahara mzuri bongo kwa entry level, maana kumbuka huo ni mshahara wa luteni usu (nyota moja) ambaye ndio anaanza kazi, na hicho cheo ni cha muda mfupi tu baada ya mwaka huwa wanaveshwa nyota mbili na kuwa maluteni, hivyo mshahara nao kuongezeka
Mkuu nafahamu zipo taasisi zenye mishahara hiyo ila kwangu mimi 3M siyo mshahara mzuri sijui kwa wengine, mimi naandika kulingana na mitazamo niliyoiona kwa watu wengi humu, watu wakitaka kusikia mishahara mizuri kwa entry level, basi wakaulizie kwenye makampuni ya kuchimba madini au baadhi ya NGOs za wazungu, ila serikalini tunadanganyana tuZipo Kuna taasis entry level mwenue degree anaanza na 3.2M
Kwa graduate haizidi laki 9Wadau vipi kuhusu NACTVET?
Ile ni taasisiKwa graduate haizidi laki 9
Sio kweli mkuu lile ni baraza la asaliKwa graduate haizidi laki 9
Hivi necta wako vizuri?Sio kweli mkuu lile ni baraza la asali
Kama NECTA tu😀
Yeah maana examination officer daraja la pili pale ana M2+ si sawa na kwingine kibongo bongo pazuriHivi necta wako vizuri?
Kwa sisi wenye cpa basi tutaanzia 3mYeah maana examination officer daraja la pili pale ana M2+ si sawa na kwingine kibongo bongo pazuri
May be maana kwa huyo wa 2m anapewa na nyumba kwa gharama ya mwajiri ( NECTA) wanajaribu kuweka mazingira vzr kuondoa watumishi wasijeingia kwenye kuvujisha pepa kisa njaa japo wenye tamaa hawakosekana mkuu ata uweke mazingira mazuri kiasi ganiKwa sisi wenye cpa basi tutaanzia 3m
Sijaona NIMR, OSHA , TCA??Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Kwani wanalipa sh ngapi?Sijaona NIMR, OSHA , TCA??
OSHA kawaida Sana degree basic 1.2M baada ya makato inabaki 900K+Sijaona NIMR, OSHA , TCA??
Unajua safari za osha lakiniOSHA kawaida Sana degree basic 1.2M baada ya makato inabaki 900K+
per diemOSHA kawaida Sana degree basic 1.2M baada ya makato inabaki 900K+