Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!