Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=

Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!

Mitano tena!!!
kazi ya dstv ni nini
 
Ingeleta maana umgeweka bei ya zamani na bei mpya
Bei ya zamani
3D03266C-0616-427E-B4F2-359E04F28DFA.jpeg
 
DSTV limebaki jina, mm ni mteja wao tangu 2010, mwaka 2022 ulikua wa mwisho kulipia, fedha za kulipia nimehamishia kwenye Bills za Wi-FI, ving'amuzi kwangu kwa sasa ni useless
Na kweli watu wengi kwa sasa hawalipii tena cable tv. Nasikia pia nchi kama Nigeria wanahack sana systems zao na wanaangalia bure tu. K'o wanapata hasara sana
 
Duh ni vifurushi viwili tofauti!!

Jero Jero tunazolipa vibanda umiza zinazaa faida kweli?
Kiukwel kwasasa hali ngumu,tunalipia tu kuvutia wateja wakat wakiwa wanaangalia NBC PREMIER LEAGUE

siku hz nimeona mpaka mjini watu hawana vibe sana na epl sio kama zaman

Kwasasa kidogo uefa ina nguvu

Yaan watu wanachukua faida aliyoipata kwenye nbc anaongezea kulipa kwenye dstv
 
ukilinganisha na ubora wa burudani sioni tatizo kwa upande wa bei mpya wallah
 
Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=

Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!

Mitano tena!!!
Kumbe wamepandisha tena... ngoja tuachane nayo tutumie tu internet
 
Fedha yako wekeza kwenye Internet utaona manufaa yake, utajifunza mengi kupitia internet, utachagua utazame nini badala ya kupangiwa na vipindi vya Channels,
Na mimi nimefikiri hivi, kuna apps kibao kama Roku, Plex, Youtube etc ukiwa na SmartTV unaangalia mengi sana.

Jana nilikuwa naangalia bonge la documentary ya Shackleton kwenye Roku app, sijalipia chochote zaidi ya kutumia unlimited internet yangu tu (US).
 
Back
Top Bottom