Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya DStv kuanzia kesho April mosi 2025, Umejiandaaje?

Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=

Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!

Mitano tena!!!
Dstv wanapandisha bei kila siku.
 
Lakini kwenye Internet unapata hizo channels za DStv?
Kila kitu napata kwenye internet haina haja ya king’amuzi kuna makampuni makubwa kama Hulu channels zote kalo duniani unapata, za dstv cha mtoto
 
Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=

Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!

Mitano tena!!!
DSTV is such a rip off
 
Kwa jinsi currency yetu inavyoongoza kuporomoka hawana jinsi ni kupandisha gharama tuu.

Huwezi kusikia chawa wanazungumzia mfumuko wa.bei hata. Siku moja
 
Mimi natamani sana bei ya unit moja ya.umeme ishuke bei. Unit inauzwa sh 395. Umeme uko bei juu sana na watu.hawalioni hilo
 
Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;

DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=

Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!

Mitano tena!!!
Hicho cha 185,000 kinaonesha hadi channels za mbinguni au? Ili tuwaone malaika wakiwa kwenye pilika pilika zao kule sio kuangalia wazungu tu hapa duniani.
 
DSTV limebaki jina, mm ni mteja wao tangu 2010, mwaka 2022 ulikua wa mwisho kulipia, fedha za kulipia nimehamishia kwenye Bills za Wi-FI, ving'amuzi kwangu kwa sasa ni useless
You are right 100%
 
wako chini ukilinganisha na burudani ndani ya visimbuzi vyao

binafsi naona wako njema
 
Back
Top Bottom