Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Tutamwomba MamaSamia2025 aongee na Wqchina wetu wazuri kuliko hela watuletee DStv Tanzania ya Wachina, maana siku hizi hata dagaa tunaletewa na wawekezaji wetu hawaKuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
Na bado shilingi ikiendelea kuzingua watapandisha zaidiKuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
wewe ni afisa kipenyo au mjeda??Uzuri wake wengine tunalipiwa na GVT [emoji23]
Mimi ni chawa wa mama 😂wewe ni afisa kipenyo au mjeda??
Mimi nalipia kila mwezi Tsh 37,000/= imepanda Hadi 39,000/=Ingeleta maana umgeweka bei ya zamani na bei mpya
Dstv wenyewe movie za mwaka 47 huko. Dstv ni ball tuu hamna chingineLipia premium ya mwaka mzima tulia, acha kulialia
Kweli ukiwa na unlimited access internet bora internetDSTV limebaki jina, mm ni mteja wao tangu 2010, mwaka 2022 ulikua wa mwisho kulipia, fedha za kulipia nimehamishia kwenye Bills za Wi-FI, ving'amuzi kwangu kwa sasa ni useless