900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
kazi ya dstv ni niniKuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
Fedha yako wekeza kwenye Internet utaona manufaa yake, utajifunza mengi kupitia internet, utachagua utazame nini badala ya kupangiwa na vipindi vya Channels,Kweli ukiwa na unlimited access internet bora internet
Epl-compactHapo bundle la EPL na UEFA ni lipi?
Na kweli watu wengi kwa sasa hawalipii tena cable tv. Nasikia pia nchi kama Nigeria wanahack sana systems zao na wanaangalia bure tu. K'o wanapata hasara sanaDSTV limebaki jina, mm ni mteja wao tangu 2010, mwaka 2022 ulikua wa mwisho kulipia, fedha za kulipia nimehamishia kwenye Bills za Wi-FI, ving'amuzi kwangu kwa sasa ni useless
Baelezee baambie baelewe 😃 😃Lipia premium ya mwaka mzima tulia, acha kulialia
2015 kwenda mbele au😃😀Bei ya zamani
View attachment 3288918
haba bantu habana hela banalialia tuBaelezee baambie baelewe
Duh ni vifurushi viwili tofauti!!Epl-compact
Uefa-compact plus
Sawa na ongezeko la asilimia tano pointi nne (5.4%)Mimi nalipia kila mwezi Tsh 37,000/= imepanda Hadi 39,000/=
Watumiaji wote wa DStv tumepata ujumbe wa mabadiko ya bei.....
Kiukwel kwasasa hali ngumu,tunalipia tu kuvutia wateja wakat wakiwa wanaangalia NBC PREMIER LEAGUEDuh ni vifurushi viwili tofauti!!
Jero Jero tunazolipa vibanda umiza zinazaa faida kweli?
Nunua Wifi Router yako
Lipia unlimited internet yenye speed
Kuwa na Android au smarttv
Download app inaitwa CRICFy TV haipo playstore itafute google
Enjoy channel zaidi ya 7000 kutoka sehemu mbalimbali duniani ikiwemo zote za DSTV kasoro magic maisha tu
Hiyo bei ya Compact Plus na Premium lipa kifurushi cha Wi-Fi + Netflix au YouTube Premium utakuja kunishukuruBei ya zamani
View attachment 3288918
Mie sio muangalia TV mkuu.Hiyo bei ya Compact Plus na Premium lipa kifurushi cha Wi-Fi + Netflix au YouTube Premium utakuja kunishukuru
Kumbe wamepandisha tena... ngoja tuachane nayo tutumie tu internetKuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
Na mimi nimefikiri hivi, kuna apps kibao kama Roku, Plex, Youtube etc ukiwa na SmartTV unaangalia mengi sana.Fedha yako wekeza kwenye Internet utaona manufaa yake, utajifunza mengi kupitia internet, utachagua utazame nini badala ya kupangiwa na vipindi vya Channels,