Lakini kwenye Internet unapata hizo channels za DStv?DSTV limebaki jina, mm ni mteja wao tangu 2010, mwaka 2022 ulikua wa mwisho kulipia, fedha za kulipia nimehamishia kwenye Bills za Wi-FI, ving'amuzi kwangu kwa sasa ni useless
Dstv wanapandisha bei kila siku.Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
Kila kitu napata kwenye internet haina haja ya king’amuzi kuna makampuni makubwa kama Hulu channels zote kalo duniani unapata, za dstv cha mtotoLakini kwenye Internet unapata hizo channels za DStv?
DSTV is such a rip offKuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
School Fees, Rental, Meals, Clothes, etcUmeme+maji+gas+Tv+petrol/diesel+mchepuo nk,nk,nk
Hatari sanaSchool Fees, Rental, Meals, Clothes, etc
Hicho cha 185,000 kinaonesha hadi channels za mbinguni au? Ili tuwaone malaika wakiwa kwenye pilika pilika zao kule sio kuangalia wazungu tu hapa duniani.Kuanzia kesho DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,000/=
DStv Bomba - 27,000/=
DStv Family - 39,000/=
DStv Compact - 67,000/=
DStv Compact Plus - 116,000/=
DStv Premium - 185,000/=
Ukiona hivi, jua na AzamTv nao hawako mbali kuja kuwakandamiza mwanawane na bei mpya!!
Mitano tena!!!
You are right 100%DSTV limebaki jina, mm ni mteja wao tangu 2010, mwaka 2022 ulikua wa mwisho kulipia, fedha za kulipia nimehamishia kwenye Bills za Wi-FI, ving'amuzi kwangu kwa sasa ni useless
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hicho cha 185,000 kinaonesha hadi channels za mbinguni au? Ili tuwaone malaika wakiwa kwenye pilika pilika zao kule sio kuangalia wazungu tu hapa duniani.
HahahWamepandisha tena, kumbaf hawa.