Hizi ndizo dhambi kubwa

Hizi ndizo dhambi kubwa

Dhambi ni kosa au uvunjifu wa sheria
Je hizo dhambi ulizozi-ainisha ni kutokana na sheria aliopewa Musa kutoka kwa MUNGU au umeamua kuandika baadhi ya wewe unazoziona .

Pili wewe ni muumini wa MUNGU yupi JEHOVAH (MUNGU wa mbinguni ) au Allah
 
UONGO ndio mama wa dhambi zote; tena ndio dhambi ya kwanza duniani.
 
Tamaa ndiyo mama wa dhambi. Mana Adamu alikuwa na choice ya kutokula tunda ili afanane na MUNGU. Hata shetani pia tamaa ndiyo ilimfanya awe shetani kwa sababu alitamani kua MUNGU
Lucifer mkuu wa malaika walioasi (shetani) alijisemea haya moyoni:

Isaya 14:13 "

Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
"
 
Hapa sijafanya mbili mauwaji na ushirikina lakini naomba niulize hivi dola au chama tawala kikidhulumu kura na majimbo ya upinzani Nani specific anapata dhambi.
Dhambi wanapata walioenda kushiriki huo uchaguzi maana kwenda kupiga kwao kura ndio wamehararisha huo wizi.
 
Tamaa ndiyo mama wa dhambi. Mana Adamu alikuwa na choice ya kutokula tunda ili afanane na MUNGU. Hata shetani pia tamaa ndiyo ilimfanya awe shetani kwa sababu alitamani kua MUNGU
Lucifer mkuu wa malaika walioasi (shetani) alijisemea haya moyoni:

Isaya 14:13 "

Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
"
Huyo alikuwa Lucifer au Malkia Nebukadreza?
 
Uzinzi na uasherati, hapo wengi tunaanguka na ni pagumu sana kukwepa hata iweje.
 
Tamaa ndiyo mama wa dhambi. Mana Adamu alikuwa na choice ya kutokula tunda ili afanane na MUNGU. Hata shetani pia tamaa ndiyo ilimfanya awe shetani kwa sababu alitamani kua MUNGU
Lucifer mkuu wa malaika walioasi (shetani) alijisemea haya moyoni:

Isaya 14:13 "

Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
"
... tamaa ya Admu ilikuja baada ya uongo; baada ya kudanganywa na nyoka. Kuhusu tamaa ya Lucifer hayo ni mambo yalifanyika Mbinguni; mimi nazungumzia dhambi ya kwanza duniani.
 
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina

miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Nilifikiri dhambi kumbe zambi ndio maana kuna Uzizi na zuluma 😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
dunia inavozidi kuendelea kuna zambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.

hizi zambi uwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.

1-uzizi
2-mauaji
3-zuluma
4-ushirikina

miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Kumbe kuna dhambi mpya na hamsemi.
Harafu baraza la kiswahili halitambui neno "Zambi" jirekebishe
 
... tamaa ya Admu ilikuja baada ya uongo; baada ya kudanganywa na nyoka. Kuhusu tamaa ya Lucifer hayo ni mambo yalifanyika Mbinguni; mimi nazungumzia dhambi ya kwanza duniani.
Adamu hakumdanganya nyoka . Nyoka ndiye mdanganya Adamu.
Dhambi ya Adamu ilikuwa ni Tamaa .
Mana Aliahidiwa na Nyoka , akila tunda - Atafanana na MUNGU. na pia MUNGU kuna kitu anawaficha kwa hiyo akila tunda Atakuwa kama MUNGU.

Adamu akala kwa tamaa zake
 
Adamu hakumdanganya nyoka . Nyoka ndiye mdanganya Adamu.
Dhambi ya Adamu ilikuwa ni Tamaa .
Mana Aliahidiwa na Nyoka , kila tunda - Atafanana na MUNGU. na pia MUNGU kuna kitu anawaficha kwa hiyo akila tunda Atakuwa kama MUNGU.

Adamu akala kwa tamaa zake
... (1) Nyoka akamdanganya Adam (2) Adam akaingiwa tamaa; that means UONGO then TAMAA! Ndicho nilichosema.
 
Dhambi ya kwanza Adamu kuifanya ni Tamaa ( Kutamani Kuwa kama MUNGU kwa kula lile tunda )

Na pili Unaposema mama wa dhambi , Basi hata leo inatakiwa ifanye kazi kanuni yako

Tamaa ni mama wa dhambi hadi leo , - ndiyo chanzo cha uzinifu , ubinafsi , wizi , uongo na dhambi nyingine

Unajua kabisa hii - ni dhambi ila kutokana na tamaa unaamua kuifanya hiyo dhambi iliyo sababishwa na tamaa
 
Back
Top Bottom