Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

Siongelei hao wanafunzi wa chuo waliotoka mkoani wakaingia dar maisha yakawapiga ndio wanaingia mitaani, naongelea hawa born town
 
1683924310039.png
 
~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele >
~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu>
~kuuza duka
~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli>
~udereva < wanaogopa ajari >
~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa
~kilimo hakilipi
~ufugaji mambo ya kizee
Hawataki kuajiliwa
Kila kijana anataka kuwa msanii mkubwa

Hao Ukitumia hela zako wanakwambia freemason
Hao wanandoto za kumiliki mikwanja mirefu nk.
Wanaozifanya hizo kazi wanatoka wapi kama sio kwenye mji husika?
 
~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele >
~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu>
~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja>
~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli>
~udereva < wanaogopa ajari >
~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi>
~kilimo hakilipi
~ufugaji mambo ya kizee
Hawataki kuajiliwa
Kila kijana anataka kuwa msanii mkubwa

Hao Ukitumia hela zako wanakwambia freemason
Hao wanandoto za kumiliki mikwanja mirefu nk.
Daradara ndiyo nn? Ivi watu wa lake zone lile ziwa limewasababishia nn?
 
Back
Top Bottom