econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Mkuu mbona husemi alikuwa anakula nini? Tafadhali jibu kwa kifupi tu chakula cha simba /wanyama walao nyama kilikuwa nini?
Jibu lipo mstari wa 29 na 30
Mkuu mbona husemi alikuwa anakula nini? Tafadhali jibu kwa kifupi tu chakula cha simba /wanyama walao nyama kilikuwa nini?
Hivi ndivyo tumelelewa kwenye dini. Mtu akihoji swali inabidi kumpoteza iwapo jibu lina mkanganyiko
Kwahiyo tunakubaliana kwamba kifo kilikuwepo hata kabla hawajatenda dhambi
Naomba kujua,. Kabla ya dhambi, simba alikula nini? Achana na fisi, mamba, chui n.k
Ukisoma kwa kutafakariutagundua mstari wa 29 unaongelea vyakula alivyowapa wanadamu. Mstari wa 30, unaongelea aina nyingine ya vyakula (vya wanyama na ndege.) Swali ni, unaogopa nini kusema simba alikula nyasi au nyama au matunda au mizizi au magome?Soma mwanzo 1
29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;
30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
Jamaa wanazunguka sana. Mtu anataka mwenge kutokea ubungo badala ya kupita mawasiliano anaamua kupita mabibo.Mkuu mbona husemi alikuwa anakula nini? Tafadhali jibu kwa kifupi tu chakula cha simba /wanyama walao nyama kilikuwa nini?
Hapa ndo mnapokoseaga sasa, ungemjibu kwa wepesi na uelewa wako ingeeleweka au ungesema hujui, wengine wangekusaidia. Unachokifanya ni kuleta ligiSasa kama unashindwa kusoma mistari michache hivyo miepesi utaweza kusoma vitu vigumu mkuu?
Unajua nimempa andiko ukilisoma jibu lipo wazi kabisa.Hapa ndo mnapokoseaga sasa, ungemjibu kwa wepesi na uelewa wako ingeeleweka au ungesema hujui, wengine wangekusaidia. Unachokifanya ni kuleta ligi
Binti jibu swali acha kukariri biblia fekiUnajua nimempa andiko ukilisoma jibu lipo wazi kabisa.