Hizi ndizo nguvu na uwezo wa Ajabu aliokua nao Adam baada tu kuumbwa

Naomba kujua,. Kabla ya dhambi, simba alikula nini? Achana na fisi, mamba, chui n.k

Soma mwanzo 1
29 Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu;

30 na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
 
"kisha Mungu akasema........"kupitia hao hao wazungu kwenda kwa waafrika wapumbavu kama wewe,idiot!!
 
Ukisoma kwa kutafakariutagundua mstari wa 29 unaongelea vyakula alivyowapa wanadamu. Mstari wa 30, unaongelea aina nyingine ya vyakula (vya wanyama na ndege.) Swali ni, unaogopa nini kusema simba alikula nyasi au nyama au matunda au mizizi au magome?
 
Mkuu mbona husemi alikuwa anakula nini? Tafadhali jibu kwa kifupi tu chakula cha simba /wanyama walao nyama kilikuwa nini?
Jamaa wanazunguka sana. Mtu anataka mwenge kutokea ubungo badala ya kupita mawasiliano anaamua kupita mabibo.
 
Hapa ndo mnapokoseaga sasa, ungemjibu kwa wepesi na uelewa wako ingeeleweka au ungesema hujui, wengine wangekusaidia. Unachokifanya ni kuleta ligi
Unajua nimempa andiko ukilisoma jibu lipo wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…