Ni kama vile mzazi akikukopa hela š¤£Vipi fedha zinazokopwa na serikali zinalipwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama vile mzazi akikukopa hela š¤£Vipi fedha zinazokopwa na serikali zinalipwa?
Watu hawajario wanazipigaa tu pesa za mfuko
Halafu vipimo vingi na dawa za uzazi havimo kwenye package ya NHIF , Kwanini?
Hiyo inategemea na aina ya package
Mbona matumizi ya fedha ya mfuko ni ya holela sana hilo halisemwiUkweli ni kwamba Matibabu ni gharama sana fedha kidogo tunazo katwa hazitoshi kugharamikia hivyo kinachofanyika kwenye mfuko ni COST SHARING - kipindi wewe mwaka mzima hauumwi ujue kuna mtu kila mwezi anapata matibabu ya zaidi ya laki 2 na anakatwa 22,000 tu . Hivyo mfuko ni wa kuulinda sana kuepuka matumizi yasiyo sahihi au yasiyo ya lazima maana hata wewe kuna siku utatibiwa kwa zaidi unachochangia .
Hii pointi ya 3 ni mzigo sana mfano ofisi moja unakuta inahidumia wilaya 2 ama 3 hapo gharama za kila siku lazima zitakuwa kubwaHabari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola.
Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :-
1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha mfuko ), wanufaika wengi sana hufikiri ukiwa unakatwa hela basi ni lazima utibiwe hivyo kadi zikikaa sana basi atalazimika kuchukua hata familia nzima au kuwapa hata majirani waende hospitalini kupata matibabu .
Ukweli ni kwamba Matibabu ni gharama sana fedha kidogo tunazo katwa hazitoshi kugharamikia hivyo kinachofanyika kwenye mfuko ni COST SHARING - kipindi wewe mwaka mzima hauumwi ujue kuna mtu kila mwezi anapata matibabu ya zaidi ya laki 2 na anakatwa 22,000 tu . Hivyo mfuko ni wa kuulinda sana kuepuka matumizi yasiyo sahihi au yasiyo ya lazima maana hata wewe kuna siku utatibiwa kwa zaidi unachochangia .
2. HELA YA KUMUONA DAKTARI , Katika madai mengi pesa kubwa inakwenda kwenye hii sehemu hivyo kuna haja ya kupitia na kuona itawekwaje ili isimuumize mnufaika na mtoa huduma ,kama itawezekana basi mfuko uchangie matibabu consultations alipie mnufaika (Maamuzi magumu ) .
3.MATUMIZI MAKUBWA YA PESA ZA MFUKO MAOFISINI -NHIF, Mikopo, Mishahara, Posho na safari nyingi zinazofanywa na watumishi wa NHIF ni mzigo kwa mfuko.
NHIF inatakiwa ije na Technologia zitakazo rahisisha kazi na kudhibiti ubadhilifu - watumishi waumize vichwa
Mfano -NHIF ije na mfumo wake yenyewe ambao hospitali zitautumia uonyeshe mgonjwa anatibiwa nini, mara ya mwisho alitibiwa wapi alifanya kipimo kipi na alipewa dawa zipi na Daktari X aone matibabu ya kituo Y kuepuka kurudia madawa .
Nadhani kama NHIF itasolve haya mambo kuna Changamoto zitapotea.
[emoji23][emoji23]Per diem wanajilipa kama wako Ulaya
Mbona matumizi ya fedha ya mfuko ni ya holela sana hilo halisemwi
ukiwa na standard package na supplementary packages unapima . Vifurushi kam NAJARI ,WEKEZA na TIMIZA hapo utalazimika kulipia .Ni package ipi au vigezo gani vitamfanya mwanachama kuwa anapata ful service hadi vipimo na dawa za uzazi?
Kuna watu nawajua wako taasisi ambazo mshahara wao si haba Yaani wachangia mfuko Hela nyingi kila mwezi kila Mwaka na mume wake lakini wakienda hospital wanaambiwa vipimo hivyo havilipiwi na NHIF wala dawa [emoji848][emoji848]
Wanakereka mpaka basi.
Na inawabidi wakachukue Hela bank walipie wakati wameshakatwa Hela nyingi na NHIF!
Hata zingine hazina majinaPosho za aina mbalimbali kama zote. ?
.Hivi ni taasisi ngapi zenye huu utaratibu wa kuchukua pesa za kuendeshea gharama za matibabu na kisha kujikopesha kwa wafanyakazi wake?.
Je mfumo huu ukiwepo nanTRA tutakuwa na makusanyo mazuri ya kuridhisha kwa namna hiyo?
Tanesco nao wajikopeshe na hali ya umeme unavyosua sua si ndio tutausikia tu kama kuna kitu kinaitwa umeme na haujawai kuwepo na shirika linakufa kabisa?.
Kwa nini hawa watu hawakopeshwi na taasisi za kibenki ambazo hayo ndio mambo yao husika?
Ifikie kipindi hata mifuko ya jamii isikopeshe mikopo mikubwa kwa watu badala yake impe mtu kulingana na mafao yake jinsi yalivyo au yatakvyokuwa pale anapostaafu.
TATIZO LA NCHI YETU NI UBINAFSI ULIOPITILIZA.
Tukiweza kujikwamua na hili tutajivusha mbali kuliko hapa tulipo kwa sasa.
Tukifanikiwa kutunga sheria hizi hakika tutaenda mbali sana.Dawa ya ubinafsi: Zitungwe sheria kali kwa wanaofanya ubadhirifu wa mali za umma mfano kunyongwa, vifungo vya maisha, kufilisiwa, n.k.
.
Afrika isipofanya hayo, hatutakaa tuendelee...never ever ever!
Nadhani katiba mpya ni muhimu sana.
Kati ya watu waliiongea point, ni wewe. Tatizo kubwa la waafrika ni UBINAFSI. Hakuna tatizo kubwa zaidi ya hili, HAKUNA. Matatizo yote yanatokana na tatizo hili. Imagine hata vijana ambao hawajapata kazi serikalini tayati wana mentality za kupiga, sasa wakipata nafasi unategemea nn?!
.
Dawa ya ubinafsi: Zitungwe sheria kali kwa wanaofanya ubadhirifu wa mali za umma mfano kunyongwa, vifungo vya maisha, kufilisiwa, n.k.
.
Afrika isipofanya hayo, hatutakaa tuendelee...never ever ever!
.Tukifanikiwa kutunga sheria hizi hakika tutaenda mbali sana.
.Nadhani katiba mpya ni muhimu sana
Magufuli ndio alivuruga mfuko wa hifadhi ya jamii kwa kuchota hela huko na kupeleka kwenye ujenzi wa madaraja. Kinachofanyika sasa ni kufidia fedha zilizochukuliwa kibabe na awamu ya 4 na mama ni mhusika pia.Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola.