Mifuko imechotwa na Kikwete pia. Ujenzi wa Hospitali Dodoma fedha zilitoka NHIF
Kumbe ni kama zinavyochotwa za mifuko ya Hifadhi ya Pension ya Wafanyakazi?
Halafu kikokotoo mashaka matupu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mifuko imechotwa na Kikwete pia. Ujenzi wa Hospitali Dodoma fedha zilitoka NHIF
Usiharibu mjadala mzuri kama huu kwa kutuletea upuuzi wa huyo msomi uchwara wako.Prof Janabi anajitahidi pia sema sisi wabongo wagumu sana
aiseeMagufuli ndio alivuruga mfuko wa hifadhi ya jamii kwa kuchota hela huko na kupeleka kwenye ujenzi wa madaraja. Kinachofanyika sasa ni kufidia fedha zilizochukuliwa kibabe na awamu ya 4 na mama ni mhusika pia.
just show respect to profUsiharibu mjadala mzuri kama huu kwa kutuletea upuuzi wa huyo msomi uchwara wako.
Hakikajust show respect to prof
😂😂😂😂Usiharibu mjadala mzuri kama huu kwa kutuletea upuuzi wa huyo msomi uchwara wako.