Hizi ndizo sababu za kutopokea simu za baba yangu mzazi

Kuwa uyaone mdogo wangu Poor Brain la msingi ni kupambania ustawi wako sio kutafuta validation. Bado haujawa matured enough na ndio maana akili yako imetanguliza hofu sana.

Do what is right as long as you chase the money, halafu ishu ya kula mishangazi sio ujanja ni ushamba unabeba mikosi tu hiyo mishangazi imeshaliwa sana na wanaume wenye roho ambazo kwa upande wako yawezekana zinakutia giza tu.

Nina mengi ya kukwambia lakini kwa sasa ni haya
 
Asante sana kaka angu manyanza nachukua haya kama ushauri kutoka kwa mtu wa karibu kwangu..

Nafanyia kazi kaka
 
Dogo unapitia wakati mgumu. Pole.

mwanzoni nilitaka nidharau mambo unayongelea, ila nikagundua una matatizo flan flan ya kisaikolojia na kimalezi.

Kwanza wewe ni first born. kuwa first born ni tatizo namba moja.

Pili una vitu vitatu jitahidi uviache....
acha pombe, kubet acha na umalaya wa kuwa na mamama ambao ni kama mama zako

tatu...mzee wako ni mkali sana acha kumuogopa, bali mpende. mzee anakutisha kwa sababu wlishakuwa mkali sana miaka yako ya utotoni

umeongea kama mwanafunz uliyehitimu chuo ila unaongea kama hujasoma.
 
Daaah sawa mkuu nimechuku ushauri wako na naufanyia kazi..
Japo kuhusu pombe hapana situmii ila vingine ni ukweli mtupu
 
"Misakologia ,ila naongea kama hujasoma, umalaya wa kuwa mamama"

????!!!!!
 
"Misakologia ,ila naongea kama hujasoma, umalaya wa kuwa mamama"

????!!!!!
Daaah sawa mkuu nimechuku ushauri wako na naufanyia kazi..
Japo kuhusu pombe hapana situmii ila vingine ni ukweli mtupu

nimerekebisha mkuu.
Na vile vile nimeongea shida ya kimalezi kwamba wazazi tunakuwa wakali kwa watoto ..ambapo tunawajengea hofu,woga,kutojuamini.

ni hatari kwa sababu huyu jamaa ana stress pia.
 
Daaah sawa mkuu nimechuku ushauri wako na naufanyia kazi..
Japo kuhusu pombe hapana situmii ila vingine ni ukweli mtupu
Unaposema mtu kuwa anazungumza kama hajasoma , pia uwe makini na kanuni za uandishi kama kipengele muhimu kwa msomi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…