Ballistic Missile kuna Arrow 3 japo air defenses zote zilikuwa active.Kwamba wewe ulikuwepo ukaona hayajapiga sehemu nyeti? Speed ya Iron Dome na Hypersonic missiles ni mbingu na ardhi.
Ndio maana huwa inapelekewa dummy missiles, wakati inahangaika na dummy huku vyuma vyenyewe vinamwaga maji😂 na hicho ndicho kilichotokea na 80% zime hit targets. Ingekuwa hamna maafa Nyetanyau asingepiga mkwala.
Sasa mkuu nauliza fact unasema wewe ni shabiki wa mwajemi.Aisee aya mkuu.
Hujanielewa nini nimemaanisha mkuu.Sasa mkuu nauliza fact unasema wewe ni shabuki wa mwajemi.
Maana yake tayari una upande.
Hamna mkuu yani ni kama unasema msimuonee iron dome david sling na arrow pia walikuwepo.Kosugi mbona unanicheka.
Nimedanganya?
Madhara yapo ila sio kama wachambuzi wetu wanavyoyaeleza.Hamna mkuu yani ni kama unasema msimuonee iron dome david sling na arrow pia walikuwepo.
Komasi kuua kafiri si thawabu hiyo? Hawa wana nyongaga watu wao hadharani halafu leo waogope kuua Yahudi, kafiri? Don't kid yourself. Kwani chanzo cha hi vita ni kipi?Iran wao hawana shida na raia japo raia wapo kwenye mahandaki mda huu ila wale jamaa wana roho nzuri sana huwezi sikia raia kafa kwenye shambulio lao
Wote wamesandaa haoBallistic Missile kuna Arrow 3 japo air defenses zote zilikuwa active.
Irone dome, David sling na Arrow 3.
Toa location mitambo iliko Ili umzime mleta madaWewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Sijakuelewa unataka kusema nini?Wewe ambaye uko nchini Mwako ndiyo unadai hawana kipya. Ila walioko kwenye hayo maeneo, wanaojua maumivu ya hayo makombora hawana hamu.
Ushabiki huondoa maarifa.Wote wamesandaa hao
Kwahiyo hayakufikia targetWewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Sihitaji kujua Hilo.Sijakuelewa unataka kusema nini?
Labda huelewi kuwa mimi ni Muislam na nnajivunia Uislam wangu.
Sasa umejuwa, Mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu, kama hupendi jinyonge.Sihitaji kujua Hilo.
Hata atheist anajivunia iMani yake! So hakuna kipya kwa Hilo.Sasa umejuwa, Mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu, kama hupendi jinyonge.
"atheist" siyo "imani", ni kukosa "imani".Hata atheist anajivunia iMani yake! So hakuna kipya kwa Hilo.
Kutoamini uwepo wa Mungu nayo ni iMani pia kama ilivyo kuamini kwenye milima"atheist" siyo "imani", ni kukosa "imani".
🤣🤣🤣 Shida Yao ni kupnyesha Israel kapigwaWewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Kwani hujui kusoma au?Mkuu hiyo milipuko imeleta athali gani?
Mbona haina tofauti na ile ya Hezbollah na hamas?
Mkuu nadhani mchambuzi wa sky news kaelezea vizuri kama israel defence system imeprove weakness na air base ya israel imepigwa ingawa israel anaficha ukweli, ila sky news wamepata picha za sattelite na kuonyesha maeneo hayo yamepigwa ikiwemo jirani na makao ya mossadNgoja nieke kitu sawa, Anga la israel linalindwa na safu tatu, Arrow systems(1,2,3), David's sling na ya mwisho ndio hio "iron dome". Makombora ya masafa marefu yanayopita umbali wa juu sana yanazuiwa na arrow system, ya saizi ya kati na David's sling, na makombora madogo short range yanazuiwa na iron dome. Iron dome haiwezi kuzuia ballistics missile hivo yanazuiwa na arrow system. Makombora yaliorushwa na iran yalikuwa ni hypersonic ballistic missiles kwahiyo mengi yalizuiwa na arrow system na sio iron dome, teknolojia ya arrow system itaruhusu bomu lipite kama litaenda kutua sehemu ambayo haina shida, bomu kama linaenda kutua katikati ya jangwa haina haja ya kulizuia. Mabomu mengi ya iran yalitua jangwani, mengine kwenye open space tu, yaliolenga kwenye makazi yalizuiwa