Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

Kwamba wewe ulikuwepo ukaona hayajapiga sehemu nyeti? Speed ya Iron Dome na Hypersonic missiles ni mbingu na ardhi.

Ndio maana huwa inapelekewa dummy missiles, wakati inahangaika na dummy huku vyuma vyenyewe vinamwaga majišŸ˜‚ na hicho ndicho kilichotokea na 80% zime hit targets. Ingekuwa hamna maafa Nyetanyau asingepiga mkwala.
Ballistic Missile kuna Arrow 3 japo air defenses zote zilikuwa active.
Irone dome, David sling na Arrow 3.
 
Sasa mkuu nauliza fact unasema wewe ni shabuki wa mwajemi.
Maana yake tayari una upande.
Hujanielewa nini nimemaanisha mkuu.
Nilichomaanisha huwa naifuatilia kwa kina Iran.
Na katika maeneo yote sehemu kuu walizowekeza ni mbili,missile tech and kamikaze drones.
Yani kote huko anaweza kuwa ana madhaifu ila sekta hizo mbili.
 
Hamna mkuu yani ni kama unasema msimuonee iron dome david sling na arrow pia walikuwepo.
Madhara yapo ila sio kama wachambuzi wetu wanavyoyaeleza.
Yale makombora 200 yote yange hit target kungekuwa na hali mbaya sana.
Ndio maana tunaona baadhi ya maeneo yaliyoathiliwa na hilo shambulio. Pia iran imetoa target zao walizozilenga, so baadhi ya makombora yalipenya na mengine kuzuiwa.

Kuna video zinazunguka mitandaoni, zinaonyesha makombora yanalipuliwa angani halafu watu wanazipost na kusema yote yame hit target.

ŁˆŁ‚ŲÆ ؓاهدت ŲØŲ¹Ų¶ Ł…Ų§ Ų£Ł‚ŁˆŁ„Ł‡ŲŒ Ų±ŲŗŁ… أنه غير Ł…Ł†Ų·Ł‚ŁŠ بالنسبة Ł„Ł…Ų­Ł„Ł„ŁŠŁ†Ų§.
 
Iran wao hawana shida na raia japo raia wapo kwenye mahandaki mda huu ila wale jamaa wana roho nzuri sana huwezi sikia raia kafa kwenye shambulio lao
Komasi kuua kafiri si thawabu hiyo? Hawa wana nyongaga watu wao hadharani halafu leo waogope kuua Yahudi, kafiri? Don't kid yourself. Kwani chanzo cha hi vita ni kipi?
 
T
Wewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Toa location mitambo iliko Ili umzime mleta mada
 
Wewe ambaye uko nchini Mwako ndiyo unadai hawana kipya. Ila walioko kwenye hayo maeneo, wanaojua maumivu ya hayo makombora hawana hamu.
Sijakuelewa unataka kusema nini?

Labda huelewi kuwa mimi ni Muislam na nnajivunia Uislam wangu.
 
Wewe huna akili kabisaaaa.
Kwahiyo unafikiri wanaposema iron dome unafikiri ni mtambo mmoja tu unaofanya kaz ya interception??
Iko mingi katika mpangilio maalum. Jielimishe kwanza kabla hujaja kwa watu wenye akil zao
Kwahiyo hayakufikia target
 
Ngoja nieke kitu sawa, Anga la israel linalindwa na safu tatu, Arrow systems(1,2,3), David's sling na ya mwisho ndio hio "iron dome". Makombora ya masafa marefu yanayopita umbali wa juu sana yanazuiwa na arrow system, ya saizi ya kati na David's sling, na makombora madogo short range yanazuiwa na iron dome. Iron dome haiwezi kuzuia ballistics missile hivo yanazuiwa na arrow system. Makombora yaliorushwa na iran yalikuwa ni hypersonic ballistic missiles kwahiyo mengi yalizuiwa na arrow system na sio iron dome, teknolojia ya arrow system itaruhusu bomu lipite kama litaenda kutua sehemu ambayo haina shida, bomu kama linaenda kutua katikati ya jangwa haina haja ya kulizuia. Mabomu mengi ya iran yalitua jangwani, mengine kwenye open space tu, yaliolenga kwenye makazi yalizuiwa
Mkuu nadhani mchambuzi wa sky news kaelezea vizuri kama israel defence system imeprove weakness na air base ya israel imepigwa ingawa israel anaficha ukweli, ila sky news wamepata picha za sattelite na kuonyesha maeneo hayo yamepigwa ikiwemo jirani na makao ya mossad
 
Back
Top Bottom